The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa alivyokuwa “akibweka”, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa?
Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu mungu mtu aka rata.