Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Kwahiyo unafurahia mtu anayekemea maovu kupotezwa? Dah hii ndiyo Tanzania
Umesemaje we mseeenge? Kakuzamishia wewe unayempa mwili na rohoKakuzamishia mpaka unammiss.....wacha weeeh. Nyie mapapai mmekuwa wengi sana humu. Huoni hata aibu kusema unam miss jamaa ana mke wake? Na unasema amelizamisha mpaka unam miss? Nyie mnatia kinyaa sana...kichefu chefu kabisa..minyoo wakubwa nyie
Mbona haya niloandika nilikuwa nimeyaweka akiba wakati sinema ikiendelea?Weka akiba ya maneno hujui kesho ....
Wewe una akili kubwa mwanangu. Tulitewa utapeli. Mungu wetu haonekani. Na wao haonekani. Je, ilikuwaje tukaamini upuuzi wao kana kwamba una jipya?Amelaaniwa amtegemeaye binadamu.
Ukishaona macho yako yote yako kwa mtu akuokoe, ushalaaniwa!
Nafikiri ndomana waafrika kama tumelaaniwa kwasababu ya mababu zetu kuomba watu waliokufa wawasaidie.
Unaongea nini wewe?Wewe una akili kubwa mwanangu. Tulitewa utapeli. Mungu wetu haonekani. Na wao haonekani. Je, ilikuwaje tukaamini upuuzi wao kana kwamba una jipya?
Unaongea nini wewe?
Upuuzi ni kumtegemea Gwajima. Who is Gwajima? What did you want him to do?
Upuuzi mwingine hi kukataa kuwa YESU NI BWANA. Huo sasa ndio upuuzi pro max.
Jesus is Lord.
What? ? ?kwa hiyo mababu zetu hawana makosa
Wanayo kwa vile ndiyo walioukubali na kuupwakia utapeli huu walioturithisha, na sasa nasi ni wa kulaumiwa kwa kuwarithisha wanetu.kwa hiyo mababu zetu hawana makosa
True. Gwajima ni tapeli tena lisilokwenda hata shule linaloibia mbunga na mazwazwa waliokata tamaa na wenye uvivu wa kufikiri mbali na ugonjwa wa akili.Unaongea nini wewe?
Upuuzi ni kumtegemea Gwajima. Who is Gwajima? What did you want him to do?
Upuuzi mwingine hi kukataa kuwa YESU NI BWANA. Huo sasa ndio upuuzi pro max.
Jesus is Lord.
Kama unamaanisha hiyo post ya mababu kuomba waliokufa, then sio kwamba hawana makosa, makosa wanayo na matokeo ndo haya up to their nth generation wanalaaniwa for their deeds.kwa hiyo mababu zetu hawana makosa
Wewe unamuongelea Gwajima mimi nakuongelea wewe!True. Gwajima ni tapeli tena lisilokwenda hata shule linaloibia mbunga na mazwazwa waliokata tamaa na wenye uvivu wa kufikiri mbali na ugonjwa wa akili.
Pole snKwa alivyokuwa “akibweka”, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa?
Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu mungu mtu aka rata.
Heri angekuwa hata mjinga. Yeye ni zwazwa la kawaidaPole sn
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...
Unafikiri ye mjinga?
Just wait
Wapi ushahidi?Naona wanaomshambulia Gwajima ni CCM wenzie,S
Ajabu kabisa hii
Kwani anachowafanyia mazwazwa wetu ni haki au ni yale ya nyani haoni kundule?Wewe uko wapi?
Nchi hii ina midume ya kijinga sana!
Wewe unaona alichofanyiwa Gwajima ni haki?
Jinga kabisa wewe!
Kusemea watu wanaotekwa imekuwa hukumu yake, Je nikweli hakuna utekaji?
Mbona wengi tu sasa waongea jambo hilo wazi wazi kama Gwajima alisema uowongo
Ccm ni ujinga?
Hahahahahaa mimi nimecheka sana usiku huu peke yangu mkuu, kwamba chihuahua.😀 😀 😀 😀 😀 Mbavu zangu ..hapo kwa chihuahua mtu.
Yep. Kuna watu chiwawa kama hujuiHahahahahaa mimi nimecheka sana usiku huu peke yangu mkuu, kwamba chihuahua.
Ntumie nauli nije mwenyewe bolt itachelewaLucha nguo zako ushapaki?
Nakuitia bolt ss hivi mchumba okay?