The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ngonja tarehe 29 ndo utaona nguvu yake ,kumbuka yupo na makanisa 2000,Kwa alivyokuwa akibweka, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa? Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu muungu mtu aka rata.
Wewe kwani alichokuwa akiwafanyanyia misukule wake ni kizuri?Wewe uko wapi?
Nchi hii ina midume ya kijinga sana!
Wewe unaona alichofanyiwa Gwajima ni haki?
Jinga kabisa wewe!
Kusemea watu wanaotekwa imekuwa hukumu yake, Je nikweli hakuna utekaji?
Mbona wengi tu sasa waongea jambo hilo wazi wazi kama Gwajima alisema uowongo
Ccm ni ujinga?
achaga kuandika mambo ya kishetaniKwa alivyokuwa akibweka, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa? Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu muungu mtu aka rata.
Acha ushetani na uzwazwa msukule wa gwajimaachaga kuandika mambo ya kishetani
Kwa alivyokuwa akibweka, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa? Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu muungu mtu aka rata.
shetani ni wewe mjuba, ibilisi mtoka pabayaAcha ushetani na uzwazwa msukule wa gwajima
halafu we utamuandikia scriptInabidi akaendelee na ile kazi yake ya kucheza filam za ngono maana alishatoa trailer ila akasingizia mkono wa baunsa
Yule bwege eti anaipa Serikali ultimatum ya siku 10 ifungue kanisa la sivyo angesema siri !! Ni siri gani kuhusu Serikali ambayo hatuijui?Kwa alivyokuwa akibweka, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa? Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu muungu mtu aka rata.
Umesema vyema. Hilo ni tapeli la kunuka tena lisilo na ubunifuYule bwege eti anaipa Serikali ultimatum ya siku 10 ifungue kanisa la sivyo angesema siri !! Ni siri gani kuhusu Serikali ambayo hatuijui?
Tatizo lake ni kwamba anaongoza misukule kwenye kanisa lake, anadhani hata wananchi wengine ni misukule
Kwa alivyokuwa “akibweka”, wasiomjua walidhani atafanya kweli wakati ni aina fulani ya chihuahua mtu.
Yuko wapi wakati jimbo lake lisharudishwa kwa wenyewe huku duka lake la kuuza roho likiendelea kufungwa?
Usishangae, kama Kakobe, ukasikia kaufyata na kutimkia ughaibuni au kapotezwa na 'malaika' wasiojulikana wa huyu mungu mtu aka rata.
gwajima kwenye kuongelea makanisa , vilevile aliongelea chadema wapewe reforms ili washiriki na wao(ccm) hawana wasiwasi maana watawashinda tu --- huu ulikua uwongo mkuu hata ubunge wake huu wa 2020 -2025 umepatikana kwa uharamu wa chama chakeWewe uko wapi?