hii ni kwa wasomi na wanasheriaLengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
Ndiyo mwanzo wa kujifunza na kuanza kuvaa sidiria ili ndala zisionekane.Lengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
With Google assistance...Ndiyo mwanzo wa kujifunza na kuanza kuvaa sidiria ili ndala zisionekane.
Huu ndio ujumbe mkuu kwenye ile press yake.IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
Una miaka 65Kwa akili hizi hakuna namna, hata mimi ningechukua changu nakukaa pembeni (japo sio kwa kuuza kitega uchumi kama bandari).
Vinginevyo siwezi ku-risk maisha yangu kwa watu wenye akili nzito kama watanzania.
My god we Tanzanians are thick
Sawa kabisa lawyerhii ni kwa wasomi na wanasheria
I am not a lawyer! Not at all! ila nasoma kujiongeza!Sawa kabisa lawyer
nenda shule! kama huwezi kuelewa just skip!Acha ushamba wa kuchanganya lugha.
Kwa akili yako unadhani hadi ujue ni lazima uende darasani!?nenda shule! kama huwezi kuelewa just skip!
Kwa akili hizi hakuna namna, hata mimi ningechukua. Kiongozi ningechukua changu nakukaa pembeni (japo sio kwa kuuza kitega uchumi kama bandari).
Vinginevyo siwezi ku-risk maisha yangu kwa watu wenye akili nzito kama watanzania.
My god we Tanzanians are thick.
Ni vipi amjaelewa msingi wa Gwajima kujitoa muanga, you people are so thick.
Yaani mpaka mtu, atoke hadharani, uchi aitukane serikali, apigwe risasi ndio mseme alijitolea.
Otherwise wengi hamjaona msingi wa hoja ya Gwajima na kwamba kuna watu waliochoka nyuma yake despite ya maelezo yake ya kina.
Na mada kama ndio evaluation ya alichoongea kweli, so demoralising; mtu ana risk his welfare na huu ndio uelewa wenu,
Halafu nyie ndio wapigania mabadiliko, this thick.
God
Kimsingi hakuna kipya alichosema Gwajima kwani watu wengi tayari walikuwa wanajua na upinzani wameshasema sana ila Tanzania watu ni waoga sana wa kujitokeza hadharani na kuzungumza kama alivyofanya. Pengi niseme upinzani wameshasema sana ila jamii huwa inachukulia kama ''hawa ni wapinzani tu''. Pengine mwana CCM kusema huu ukweli itasaidia.IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
Tuna shida watanzania mtu anatumia muda kukuelezea A, halafu wewe unarudi kusimulia wengine alikuwa anaongelea B.Sadly...
Tuna shida watanzania mtu anatumia muda kukuelezea A, halafu wewe unarudi kusimulia wengine alikuwa anaongelea B.
Imagine hapa ndio kwenye wasomi.
Aargh. So sad
Kimsingi hakuna kipya alichosema Gwajima kwani watu wengi tayari walikuwa wanajua na upinzani wameshasema sana ila Tanzania watu ni waoga sana wa kujitokeza hadharani na kuzungumza kama alivyofanya. Pengi niseme upinzani wameshasema sana ila jamii huwa inachukulia kama ''hawa ni wapinzani tu''. Pengine mwana CCM kusema huu ukweli itasaidia.