Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured

Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .

Kwanini usifikirie kuacha legacy ,

Ubinafsi ni mbaya Sana .
Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.

Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.
 
Ni spinning strategy mkuu! Sio kwamba hawajui wanatumwa na wanapewa sentensi kabisa za kupost kuwachanganya wananchi wapoteze focus! Ila kwa sasa umma unaendelea kupata ufahamu kila siku muda unafika hata mawe yataongea!
Ndio Hawa kina Tlaahtlaah na Mwashambwa
 
Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.

Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.
Fact
 
Hii nchi kila mtu analalamika from Rais hadi wabunge, sijui wamechaguliwa ili wafanye nini?
 
While I endorse what Bishope Gwajima said, I hate that he cherry picked history. This is hypocritical and crude propaganda to sway the timid minded folks.

The vicious abuse of state power didn't start with Samia, but Magufuli. Samia is just capitulating on a long built system of her predecessor.

He's set a bad precedent by dismissing Deputy DGIS, Msalika Robert Makungu, demoting him to RAS Njombe.

Then he went to dismiss, Director of Foreign Intelligence, because she was rumoured to be a Membe's acolyte. He actually went into a bloody rampage purging the entire Foreign Affairs establishment, replacing them with officers from TPDF like Gen Ibuge.

He finally, put The DGIS Modestus Kipilimba into house arrest, later exiling him to Namibia, because he deemed him a fifth columnist working for his former boss, and a man who recruited him, Benard Membe.

Magufuli went on to create a Task Force, independent of TISS's ordinary chain of command. A force with no political oversight, manned by thugs and sadists like Bashite, Sabaya, Mwesiga, who were placed under the Patronage of that Muhehe Guy from Nyabula.

No professionalism, just ruthlessness, murder and mayhem in the name of Patriotism and Fixing the country.

The vitriol remarks by Bishop Gwajima, prove and old adage which say, the CCM elites are not patriotic unless their interests are under siege.

CCM is a cancer that needs to be cut out.
Bishop Gwajima himself is a product and a beneficiary of the corrupt system that is like a tumorous cancer on the spine of this country.​
 
Tukumbuke pia aijipii kalamba 1B majuzi tu hatujui hao wengine wamelamba ngapi, tusubiri dada wa taifa atuletee bank statement, huenda ndo ile 15B mama anayoililia doc zake zimeleak, muda utaongea! Kifua kipana naye anachimba mkwara tu kama hana akili nzuri kumlinda mkwe!
 
Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.

Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.
Hakika na kweli,Angalia,jinsi vijana wanavyojinasibu na Kazi za kipato Cha Kuiba,eti TRA,Bandari,Uhamiaji mipakani,Uhasibu kwenye mashirika ndiko wakutakao ili waibe!
 
Kwa kifupi Samia na Mchengerwa wametengeneza “Mafia” nje ya System.

Samia ndiyo anasimamia system kwa kuteua na kufukuza. Mtekelezaji wa mpango wa kuteka na kuua Mchengerwa. Matamko anayotoa Mchengerwa yanamtisha kila mkuu aliyepo toka Mkoa hadi mtaani.
An excellent observation! Huo ndio ukweli! Likitokea la kutokea, these people are to fce what happened in Liberia 1980!
 
With Google assistance...
  • Factum Probandum:
    This is the main fact or proposition that the party is trying to establish, the issue at the heart of the case. It's the "what" that needs to be proven. For example, in a murder trial, the factum probandum would be the fact of the murder itself.

  • Factum Probans:
    These are the pieces of evidence or facts that are used to prove the factum probandum. They are the "how" or the "evidence" that supports the main claim. In the murder trial example, factum probans could include the weapon used, witness testimony, or a medical certificate, all of which are evidence that helps prove the factum probandum (the murder).

asante sana!
 
Lengo lako la kuandika kingereza ni nini?

Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
kuna maneno hayako kwenye Kiswahili and swahili translation will not give the exact meaning as can be discerned in English.

Tukubali kuwa Kiswahili kina minimal vocabulary for technical words
 
Hicho alichoandika ni kilatoni sio kiingereza ni misingi ya kisheria kwamba factum probandum ni ukweli kuhusu jambo fulani ovu na factum probands ni ushahidi juu ya uovu uliofanywa
very good! very good! asante sana
 
IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!

Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.

He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS

HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else! Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na CARTEL YA Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio CARTEL inayoonogoza nchi ....
Mambo ya trab na trat( probandum na factum)
 
Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured

Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .

Kwanini usifikirie kuacha legacy ,

Ubinafsi ni mbaya Sana .
hadi afiepo ndo atajua hajui
 
Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured

Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .

Kwanini usifikirie kuacha legacy ,

Ubinafsi ni mbaya Sana .
Kweli kabisa mkuu
 
Mkuu hili mbona watu tunalijua siku nyingi bila hata kuambiwa? Mimi kilichonifanya nijue kuwa kuna kundi la aina hii ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotea au kuumizwa kwa njia za kihuni kabisa. Hata kipindi cha Magufuli nako kulikuwa na kundi kama hili.
Gwaji ametusanua, kuwa nasi wananchi tuanzishe cartel yetu tuwateke kina Abduli kama wanavyotekwa wengine! Mimi ndicho nilichoelewa
 
Back
Top Bottom