Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,137
- 7,569
Hata kama ungekuwa chini ya miaka 65, hata kama watoto wako wangekuwa na hali mbaya, bado haihalarishi wewe kuiba, mwizi ni mwizi tu.Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured
Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .
Kwanini usifikirie kuacha legacy ,
Ubinafsi ni mbaya Sana .
Hii Tanzania ni nchi iliyokosa misingi tangu kwenye level ya familia, ndio maana kila mtu akiingia serikalini anawaza kuiba tu, kijana anaenda chuo huku akiwaza kuchagua kozi zenye mifereji ya wizi, akipata kazi unategemea nini? halafu wanajisifu eti "sikuzaliwa kufa maskini", bila kujua yeye ni fukara ndani yake lakini nje ana hela za wizi.