- Thread starter
- #21
Rafiki sijakuelewa, A and B ?Tuna shida watanzania mtu anatumia muda kukuelezea A, halafu wewe unarudi kusimulia wengine alikuwa anaongelea B.
Imagine hapa ndio kwenye wasomi.
Aargh. So sad
Rafiki sijakuelewa, A and B ?Tuna shida watanzania mtu anatumia muda kukuelezea A, halafu wewe unarudi kusimulia wengine alikuwa anaongelea B.
Imagine hapa ndio kwenye wasomi.
Aargh. So sad
Nyie nendeni ofisi za CCM maombe vitenge na vilemba, huku hatawahitaji.Lengo lako la kuandika kingereza ni nini?
Sisi akina mwajuma ndala ndefu tutaelewaje???
Kweli kabisa. Umepiga pale pale.Tofauti kwa sasa ni kutoka upande wa walaji! So hatujui wangapi wapo nyuma yake na waliochoka kula haramu kwa kuogopa kusema! Tutajua tu soon...
NimejifunzaWith Google assistance...
- Factum Probandum:
This is the main fact or proposition that the party is trying to establish, the issue at the heart of the case. It's the "what" that needs to be proven. For example, in a murder trial, the factum probandum would be the fact of the murder itself.
- Factum Probans:
These are the pieces of evidence or facts that are used to prove the factum probandum. They are the "how" or the "evidence" that supports the main claim. In the murder trial example, factum probans could include the weapon used, witness testimony, or a medical certificate, all of which are evidence that helps prove the factum probandum (the murder).
HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA Hapa Gwajima anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else!Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio cartel inayoonogoza nchi ....Kimsingi hakuna kipya alichosema Gwajima kwani watu wengi tayari walikuwa wanajua na upinzani wameshasema sana ila Tanzania watu ni waoga sana wa kujitokeza hadharani na kuzungumza kama alivyofanya. Pengi niseme upinzani wameshasema sana ila jamii huwa inachukulia kama ''hawa ni wapinzani tu''. Pengine mwana CCM kusema huu ukweli itasaidia.
Mseminary katika ubora wako. Pamoja sana. Short sentence strongly messageIGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
hapana, kama umepitia sheria kidogo, kwa mbali uatkutana na vitu kama hiviMseminary katika ubora wako. Pamoja sana. Short sentence strongly message
Mkuu hili mbona watu tunalijua siku nyingi bila hata kuambiwa? Mimi kilichonifanya nijue kuwa kuna kundi la aina hii ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotea au kuumizwa kwa njia za kihuni kabisa. Hata kipindi cha Magufuli nako kulikuwa na kundi kama hili.HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA Hapa Gwajima anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else!Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio cartel inayoonogoza nchi ....
Mwalimu Nyerere aliwahisema "Mtu akizoea kula nyama ya mtu hataacha kuila" ndio hao sasa. Washangaa mwenye miaka 65 akiiba yaani huyo ni kijana kabisa katika serikali ya CCM. Angalia wasira bado anataka kuiba tu na miaka yake 90 kasolo.Una miaka 65
Upo well financial
Una kila kitu kizuri material things
Watoto wako wapo secured
Ila unawaza kuiba je unaiba ili hizo pesa ukazitumie wapi na lini wakati muda uliobaki hapa duniani sio mkubwa wa kuishi .
Kwanini usifikirie kuacha legacy ,
Ubinafsi ni mbaya Sana .
hoc est in SUO beat.With Google assistance...
- Factum Probandum:
This is the main fact or proposition that the party is trying to establish, the issue at the heart of the case. It's the "what" that needs to be proven. For example, in a murder trial, the factum probandum would be the fact of the murder itself.
- Factum Probans:
These are the pieces of evidence or facts that are used to prove the factum probandum. They are the "how" or the "evidence" that supports the main claim. In the murder trial example, factum probans could include the weapon used, witness testimony, or a medical certificate, all of which are evidence that helps prove the factum probandum (the murder).
exactlyMkuu hili mbona watu tunalijua siku nyingi bila hata kuambiwa? Mimi kilichonifanya nijue kuwa kuna kundi la aina hii ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotea au kuumizwa kwa njia za kihuni kabisa. Hata kipindi cha Magufuli nako kulikuwa na kundi kama hili.
Hata mimi nina matatizo sitakiwi kuwa kwenye hii mijadala, na siku nitakayofunga virago kutoka huku kijijini na kusema narudi mjini.Rafiki sijakuelewa, A and B ?
Safi sana. Yaani inatakiwa Kwa waliosoma watumie elimu Yao vizuri bila kificho Ili tuipeleke Tanzania mahali pazuri. Maana siku hizi wasomi wanasifia tu hata mpumbavu wawatawala mpaka unamshangaa alisoma Ili iwe Nini?hapana, kama umepitia sheria kidogo, kwa mbali uatkutana na vitu kama hivi
THE BEST I CAN DO IS TO IGNORE.........ENJOY YOUR DAY!Hata mimi nina matatizo sitakiwi kuwa kwenye hii mijadala, na siku nitakayofunga virago kutoka huku kijijini na kusema narudi mjini.
Yule mwanamke wa kindengereko aliepigania kuhakikisha hakuna mtoto wake anafia mjini; atanijia kutoka kwenye mizimu kila usiku kunikaba mpaka nikome na kwa kweli Itakuwa haki yake.
Uwezi kunielewa kama ukumuelewa Gwajima.
Yaani tuna ujuaji wa kishamba sana sijui “FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS”
The risk he took kuelezea hali ya siasa nchini, uelewa wako ndio upuuzi wa kilatini, pamoja na somo lote alilotoa
Aargh, I have to move away from this.
IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else! Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na CARTEL YA Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio CARTEL inayoonogoza nchi ....
Kwa kifupi Samia na Mchengerwa wametengeneza “Mafia” nje ya System.IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!
Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.
. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
Kama msomi wa Kilimo nisihangaike!hii ni kwa wasomi na wanasheria
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri Kwa wenye kuelewa, Barikiwa sana.With Google assistance...