Askofu Gwajima ame raise and attend both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS in a single sentense

Tuna shida watanzania mtu anatumia muda kukuelezea A, halafu wewe unarudi kusimulia wengine alikuwa anaongelea B.

Imagine hapa ndio kwenye wasomi.

Aargh. So sad
Rafiki sijakuelewa, A and B ?
 
Nimejifunza
 
HARD TAKE HOME MESSAGE YA GWAJIMA NI KUWA Hapa Gwajima anasema kuna CARTEL ambayo ndiyo inayoongoza nchi. Rais anawasikiliza hao kuliko anybody else!Kuna clip inaonesha samia amezungukwa na Abdul, Bashite, IGP, Waziri (Katibu wa Rais), mchengelwa, wanu kuwa hawa ndio cartel inayoonogoza nchi ....
 
IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!

Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.

. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
Mseminary katika ubora wako. Pamoja sana. Short sentence strongly message
 
Wakenya wako sahihi kabisa fikiria humu jf mtu analalamikia lugha ya malkia. Angalau tumieni google basi, hata iyo google itakuwa ngumu lugha ni ile ile, mi naona mada nyingine kwa wanaona lugha haipandi wapite kimya kimya kama
Hawajaona poleni sana, elimu TZ bure na kiingereza kinafundishwa bado.
 
Mkuu hili mbona watu tunalijua siku nyingi bila hata kuambiwa? Mimi kilichonifanya nijue kuwa kuna kundi la aina hii ni jinsi watu wanavyotekwa na kupotea au kuumizwa kwa njia za kihuni kabisa. Hata kipindi cha Magufuli nako kulikuwa na kundi kama hili.
 
Mwalimu Nyerere aliwahisema "Mtu akizoea kula nyama ya mtu hataacha kuila" ndio hao sasa. Washangaa mwenye miaka 65 akiiba yaani huyo ni kijana kabisa katika serikali ya CCM. Angalia wasira bado anataka kuiba tu na miaka yake 90 kasolo.
 
hoc est in SUO beat.
 
Rafiki sijakuelewa, A and B ?
Hata mimi nina matatizo sitakiwi kuwa kwenye hii mijadala, na siku nitakayofunga virago kutoka huku kijijini na kusema narudi mjini.

Yule mwanamke wa kindengereko aliepigania kuhakikisha hakuna mtoto wake anafia mjini; atanijia kutoka kwenye mizimu kila usiku kunikaba mpaka nikome na kwa kweli Itakuwa haki yake.

Uwezi kunielewa kama ukumuelewa Gwajima.

Yaani tuna ujuaji wa kishamba sana sijui “FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS”

The risk he took kuelezea hali ya siasa nchini, uelewa wako ndio upuuzi wa kilatini, pamoja na somo lote alilotoa

Aargh, I have to move away from this.
 
hapana, kama umepitia sheria kidogo, kwa mbali uatkutana na vitu kama hivi
Safi sana. Yaani inatakiwa Kwa waliosoma watumie elimu Yao vizuri bila kificho Ili tuipeleke Tanzania mahali pazuri. Maana siku hizi wasomi wanasifia tu hata mpumbavu wawatawala mpaka unamshangaa alisoma Ili iwe Nini?
Wasomi wote wa nchi hii waige mfano wa wanasheria waliosimama IMARA. Na Kwa uimara wao yafaa wapewe nchi hii waiongoze.
 
THE BEST I CAN DO IS TO IGNORE.........ENJOY YOUR DAY!
 
Huyo ni tapeli alikuwa wapi kuongea hayo mapema ,tena angeongelea akiwa ndani ya bunge anyway kipnd cha uchaguz hiki watu wanatafuta kuungwa mkono
 

Then what ?

Umeishia hapo tu kumuelewa askofu Gwajima?

-Kaveli-
 
IGP, DGSI, CDF wanaogopa kutenda maana mamlaka yao ya uteuzi ndiyo inatowatuma wanaoua na kuteka watu!

Gwajima amefanya yote, amerahisisha kazi ya wavivu wa kufikiri au wanafiki.

. He raised and attended both FACTUM PROBANDUM AND FACTUM PROBANS
Kwa kifupi Samia na Mchengerwa wametengeneza “Mafia” nje ya System.

Samia ndiyo anasimamia system kwa kuteua na kufukuza. Mtekelezaji wa mpango wa kuteka na kuua Mchengerwa. Matamko anayotoa Mchengerwa yanamtisha kila mkuu aliyepo toka Mkoa hadi mtaani.
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri Kwa wenye kuelewa, Barikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…