Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

Kweli Elimu ni muhimu sana, unamchaguaje mtu Halafu una challenge uwezo wake wa maamuzi?

Ukimchagua mtu una maana kwamba 100% unakubaliana na maamuzi yake bila wasiwasi!
 
Sio kila mbunge anasifa ya kuwa Waziri. Kama Huyo no 4. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Hasa swala la Elimu
 
Kweli Elimu ni muhimu sana, unamchaguaje mtu Halafu una challenge uwezo wake wa maamuzi?

Ukimchagua mtu una maana kwamba 100% unakubaliana na maamuzi yake bila wasiwasi!
Kichwani mwako una uhakika zimekutimia na zinakutosha sawa sawa?
 
Kichwani mwako una uhakika zimekutimia na zinakutosha sawa sawa?

“Kumchagua mtu ni kuamini katika uwezo wake wa kufanya maamuzi”

“Kumuingilia au kumshutumu anapoyafanya si sawa, hata biblia inakataa”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…