Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

Ngwaju Boy huyu huyu au unamsema mwingine?
 
Dr. Mpango Fedha hawezi kutoka pale amedumu miaka 5 mfululizo yeye na Ummy atawaachache kwa mfano
 
Mkuu hata Abbas Tarimba ?
 
Gwajima hana qualifacation. Babu tale hana qualifications.. tofauti na ubunge ambao hata class 7 wanaupata... uwaziri una qualification za juu.
 
Kwa mara ya kwanza katika Historia Bunge lina Askofu!! Tena Askofu Rashid [emoji1787]
Na kwa mara ya kwanza Askofu anaenda kumtumikia Kaisari maajabu haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…