Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

Marekani kila anayekubali kuchanjwa anapata dola 100 🙂 Sijui hii ikija hapa kwetu Bongo, na wanavyopenda hela wabunge wetu wanaweza kuchanja hata mara kumi mbunge mmoja!!!
Hiyo ya USA haipo poa, nzuri hiyo ya virungu kama ukikataa kuchanja
 
Marekani kila anayekubali kuchanjwa anapata dola 100 🙂 Sijui hii ikija hapa kwetu Bongo, na wanavyopenda hela wabunge wetu wanaweza kuchanja hata mara kumi mbunge mmoja!!!
Marekani kila anayekubali kuchanjwa anapata dola 100 🙂 Sijui hii ikija hapa kwetu Bongo, na wanavyopenda hela wabunge wetu wanaweza kuchanja hata mara kumi mbunge mmoja!!!
Kwa sababu ni wabunge wa Ccm ndio maana watachanjwa mara 10.
 
Acha blah blah keng£ mkubwa ww!
Sisi hayatuhusu uaneni ccm, piganeni mpaka risasi tutawachimbia kama tulivyomchimbia dikteta pombe
 
CCM haiwezi kuwa na mwanachama wa aina yako. Hoja yako ingekwenda kwa Gwajima na Chadema lakini umekosea sana kuhusisha wasukuma wote bila kujua unaharibu . Lengo lako nini sasa? Msiingie kwenye mitandao ya kijamii bila kujua mnadrive ajenda ipi.
 
alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwen
Nimeishia kusoma hapo, sikutaka kuendelea tena ujinga ulioandika ndani ya andiko lako,

Hivi, kwa nini kipindi hiki cha korona awamu ya tatu na chanjo zake wapumbavu wameongozeka kiasi hiki?

Kachanjwe jinga wewe, jana chanjo zimesambazwa nchi nzima
 
🤣🤣🤣

Ila ndugu unawahusisha KABILA ZIMA katika mambo hayo?!! 😲😲

Is it bigotry?

#TujitokezeniKuchanjwa
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#AfyaKwanza
#KaziIendelee
#NoRacismNoBigotry
 
CCM haiwezi kuwa na mwanachama wa aina yako. Hoja yako ingekwenda kwa Gwajima na Chadema lakini umekosea sana kuhusisha wasukuma wote bila kujua unaharibu . Lengo lako nini sasa? Msiingie kwenye mitandao ya kijamii bila kujua mnadrive ajenda ipi.
Huyo jamaa bangi ya malangu inamsumbua, Jinga sana jamaa
 
Gwajima hajakabidhi akili zake kwa mwenyekiti wenu na yeye akabaki kichwa-nazi kama wewe hapo na wenzio.
 
Unamiaka mingapi?
Una elimu kiwango gaani?
Unaishi vp na jamii yako?

Nilitaka kukutukana nimekusamehe wewe ni chizi no1 hapa JF.
 
Wala asiweke mguu wake chadema, hafai!
 
Gwajima hajawahi kuwa mwanachama wa chadema
 
Haya Ni mawazo yako au ndoto za mchana
 
Mmmm propaganda hizi bhana,, kweli kuwafumbua macho kuwa Chanjo sio nzuri mnamlaumu kweli
 
Wapo wengi kama Gwajima uko CCM,kwa kifupi utawala wa CCM umefitinika,utafukuza wote wenye hela maana wako na CCM kimwili tu lakini kiroho na nafsi wako CHADEMA. Sasa mtafukuza wangapi?

Hizi ndo dalili muhimu za kufikia mwisho wa CCM,CCM ilizaliwa,ikakua,ikakomaa,ikazeeka,na sasa inakufa...it's only natural,don't panic.
 
Haya ndo matanki ya fikra CCM?
 
Gwajima ni mwanaccm kindakindaki na wala hajawahi kuwa mwanachama wa Chadema. Na sasa hivi amejichimbia mizizi mirefu ndani ya CCM. Gwajima ana 'watu' na hadi sasa Gwajima 3- CCM 0. Huyu hakamatiki tena
 
Yaani kwa jinsi wanavyojikanyaga sasahivi,yule mzee angeweza kuibuka hata kwa dk2 aone yanayoendelea angelia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,kama ni hivyo hata Nyerere angepewa nafasi ya kuibuka kwa hizo dakika angelia machozi aliacha maagizo viongozi wajali maisha ya watu na sio VITU,chama awamu ya tano na sita kimejitahidi kupoteza mwelekeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…