Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima, ametoa pole ya shilingi laki moja kwa kila mwananchi aliyekatwa mapanga na vijana wanaodaiwa kuwa ni Panya road katika mtaa wa Mtongani Kunduchi usiku wa kuamkia Mei 2, 2022. Jumla ya wananchi 19 walijeruhiwa kwa mapanga.