Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

Kwa nini asngewafuata nyumbani kwao akawapa kimya kimya ? Sababu ya kuweka mahema na makamera ni nini ?
Mama yenu yupo bize kuuza wowowo kwa wazungu huko hana time na hii nchi, mwacheni gwajima ajitangaze , hakuna shehe wala makanisa wala enjioo iliyo fanya fadhili kwa hao watu sasa mnaumia nini kuona gwajima
 
Acha ujinga, Hiyo laki 1 itawaponya majeraha? Au itaimarisha ulinzi Kawe?
Kama unacho sema ni kweli mbona hao wajeruhi wamepokea kwa furaha hizo pesa samia hata kwenda kuwaona hajaenda yupo kula bata na kuongea maneno ya kunya
 
Watu wanasubiri kwenda Birmingham hawahitaji laki
 
Hijab amesema "Ukinikuna nami nitakukuna na kukupapasa"... nadhani kuna fuse haziko sawa uswahili mwingi..!
 
Hawa panya rodi ni watoto kati ya miaka 13 hadi 23, hawa ni watoto tulipaswa kushughulika nao kama watoto, huyu waziri wa jinsia na watoto dada doro yuko wapi? anakula mshahara wa bure, tunapaswa ushughulika nao kupitia ustawi wa jamii na sio kupitia polisi tunawachanganya na majambazi yaliyo jikatia tamaa tutawafunga jela lakini kumbuka hawatafia jela na wanaweza rudi sasa ni majambazi halisi
 
Back
Top Bottom