Lengo kuu ni kupigwa Picha na kuwa Habari.. Wapewa Pesa wametumika tu kufanikisha lengoKwa nini asngewafuata nyumbani kwao akawapa kimya kimya ? Sababu ya kuweka mahema na makamera ni nini ?
Watu wenyewe wapo 19 waliokatwa mapanga ambapo hata sadaka ya juma mmoja haifiki nata 1/10Sasa laki moja unaona hela nyingi kwa Mtu Kama Gwajima anayewaibia watu kwa kujifanya Askofu
Nauona mwanzo wa Ile safari yetu ya kupelekwa Marekani imewadia na Treni Ile kanunua
Njaa ni kitu kibaya sana mkuu, yaani hapo ni kama anawa simanga hadharani.Lengo kuu ni kupigwa Picha na kuwa Habari.. Wapewa Pesa wametumika tu kufanikisha lengo
Usikute yeye ndo aliwatuma hao panyaroad ili atoe hiyo pole na kujitengenezea hizi headline hizi, kwenye Siasa hakunaga lisilowezekana.
Unamanisha Nini nduguChangieni pole pole uzi Huu!!!Tuwe tunajiuliza maswali mazito KWENYE kila Jambo!!jiulize motive behind na sio camera zinazommulika!!nafsi yangu inaniambia Safari imeanza!!mjoli wa Bwana akicheza na jamii yeti na akili zao akithamini wanyonge!!!
Acha ujinga, Hiyo laki 1 itawaponya majeraha? Au itaimarisha ulinzi Kawe?