Askofu Gwajima atoa Tsh 100,000 kwa kila aliyekatwa mapanga na panya road

Tanzania hii ya CCM sijui itatufikisha wapi.
 
Tutafute suluhu ya kudumu juu ya hawa 'panya'.
 
Atwambie barabara za mitaa jimboni kwake. Hili ni mojawapo ya jimbo lenye majumba ya thamani lakini barabara za mitaa zimejaa tope na mashimo kibao. Changamoto kubwa ya jimbo la kawe ni barabara za mitaa ambazo ziko ovyo sana
 
Kwa nini asngewafuata nyumbani kwao akawapa kimya kimya ? Sababu ya kuweka mahema na makamera ni nini ?
Awape kimya kimya ili kesho muanze kulalamika kuwa wanasiasa wamewatupa?
 
Angetoa mchango Bungeni kupunguza makali ya Vijana wanaozurula bila kazi, bila ya kuwa na ajira yenye vipato vya uhakika.

Ningemshauri angetoa fedha hizo kuuwa msamiati wenye asili ya ubaguzi wa kimbari.
 
Mzee cheza vizuri hivyo hivyo wewe na polepole ni nguvu moja... mkitumia akili kidogo tu nchi tunawapa ,tatizo la maraisi waislamu kuabudu wazungu kama miungu tumechoka cheki samia anavyo abudu miungu ya kizungu kuhusu kovidi
 
Huyu jamaa wamwangalie Sana inawezekana kawatuma hawa panya road ili ionekane anawajali wananchi kwa kuwahonga vijipesa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…