Hawa panya rodi ni watoto kati ya miaka 13 hadi 23, hawa ni watoto tulipaswa kushughulika nao kama watoto, huyu waziri wa jinsia na watoto dada doro yuko wapi? anakula mshahara wa bure, tunapaswa ushughulika nao kupitia ustawi wa jamii na sio kupitia polisi tunawachanganya na majambazi yaliyo jikatia tamaa tutawafunga jela lakini kumbuka hawatafia jela na wanaweza rudi sasa ni majambazi halisi