The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Safi sana,nimekuwa nikitafakari huu ubalozi wa marekani nchini mwetu Nabaki kushangaa,inafikia kipindi wanaanza kuzungumzia mambo personal ya nchi yetu
Mbona sioni ubalozi wa China,Italy,Sweden,Norway nk ukijihusisha na mambo yetu ?
Mtumishi wa mungu ndugu Gwajima kaona mbali,Mungu ambariki sana
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
tuma tu unaogopa nnKuna kitu natamani ningekituma humu lakini najua kitawavuruga Wahusika...ngoja nikae kimya
Kwao Kolomije huyuHuyo Gwajima na zile tuhuma zake zenye ushahidi mpaka wa video nani bado anamuamini mpaka leo?
Atakuwa na matatizo, ameuvaa ulimwengu zaidi ya kuwa kiongozi wa kiroho, bora nae atafute jimbo huko kwao akagombee, atabebwa na mwenzie.
Pandisha wasipotaka tutawalazimisha wapende wasipende.Mods naomba mniruhusu nipandishe ile clip
Kuna kitu natamani ningekituma humu lakini najua kitawavuruga Wahusika...ngoja nikae kimya
Yupo upande wa Kuanguka,hiyo kuvamiwa mdomo uliteleza.Kwahyo huyu Gwajima yupo upande gani kati ya kuvamiwa au kuanguka kwa Mbowe.
Alishafundishwa adabu na Bashite guys mchumuia tumboKuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).
Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Wametupa hela zakupambana na covid 19 ungewashukuru kwanza.Kumekucha Sasa!!!!
Nakumbuka kipindi anamshambulia makonda ulikuwa ukimuita mtumishi wa Mungu! Nilichobaini, wewe ndiye mwenye matatizo bali Gwajima ni yuleyule.Mkuu huyu si Mtumishi wa Mungu ni mhuni na tapeli tu.
Anaelewa nini huyo mnyantuzu?Unapoambiwa kwa hisani ya watu wamarekani wewe waelewa nn , MBNA usisikie kwa hisani ya waitaliano au izo nchi ulizotaja. Jiongeze mkuu baba akisema hakuna wakumpinga
Yule baba kanyooshwa,,msameheni bure...Linatumika eh?
Nakumbuka kipindi anamshambulia makonda ulikuwa ukimuita mtumishi wa Mungu! Nilichobaini, wewe ndiye mwenye matatizo bali Gwajima ni yuleyule.
Gwajima ni mmoja wa matapeli maarufu wanaoiba mali na kondooKwahyo huyu Gwajima yupo upande gani kati ya kuvamiwa au kuanguka kwa Mbowe.