Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

Watanzania wana akili
Wanajua gwajima ni mpiga kampeni wa ccm mwaka 2020
 
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Jamani tusisahau huyu 2015 no alikuwa mshenga wetu kutuletea ile safari ya matumaini 👨🏿‍🦳
 
Kuna Watumishi wa Mungu na kuna Watumishi wa shetani ambao wamegeuza imani za watu kama mitaji au chanzo chao cha mapato(wajasiriamali wa kidini).

Ni jukumu lako kumtambua kiongozi wako wa kidini anaangukia kundi gani.
Hili umelijua alipoanza kumuunga mkono JPM? Nyie wanafiki tu!
 
Jamani tusisahau huyu 2015 ndo alikuwa mshenga wetu kutuletea ile safari ya matumaini 👨🏿‍🦳
2015 is not 2020! He has turned into a devil. Hivi wanaosali kwa tapeli hilo huwa wana akili timamu? Unakuta hata mwanaume mzima linakwenda kusali huko! Mwanaume limekufa mboo eti linakwenda kwa gwajima amuombee! Mwanamke hazai eti tapeli gwajima amuombee!
 
Hivi huyu askofu hakumuona hata huyu balozi akishiriki mambo ya ndani ya nchi??
 
Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha Gwajima kama Askofu. Kumwita Gwajima Askofu ni kuwadhalilisha maaskofu wa kweli.

Huyu ni tapeli anayetumia maneno ya dini kuutumikia ushirikina.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi alishamalizana na msanii mwenzie Bashite?
 
Laana ya kumtukana Cardinal Pengo inamtafuna huyu mfalme wa kwichi kwichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…