#COVID19 Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001


"Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi"

Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.!

My Take
Hii imevuka mipaka. Lakini mambo haya hayatokei bahati mbaya. Samia Suluhu umemuonea sana Mh.Mbowe acha upigwe tu mpaka utie akili.
 
Dharau ya wazi kabisa kwa Mwenyekiti wa maccm na maccm wanamuhofia Gwajiboy hakuna wakumgusa. Yule chongo looo alidai wako kwenye mchakato wa kuwashughulikia wanaosema hovyo hovyo Gwajiboy na Polepole lakini hakuna mchakato wala bibi yake mchakato πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…