Akamatwe kwa nguvu achanjwe kwa lazima akataka asitakeAskofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tatizo lipo wapi mbona wabunge wenu wakawe mliowataka wapo bungeni!?wanakawe gani hao waliomchagua? Askofu aliingia kwa kura za wizi atutolee ujinga sisi
Ukweli unao mwenyewe na ambaye hajachanja!Mimi nimechanja, kwanini niwe na hofu? Najiona niko huru zaidi kuliko kipindi nikiwa sijachanja.
Ila naamimi kuna siku utapata elimu sahihi, utabaki unajicheka akili yako ilivyokuwa kabla.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Waliochanjwa wachache sana je tuite wao ndio werevu?Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Kwahiyo unataka kusema ambao hawakubali chanjo duniani kote ndo wajinga ila nyinyi tu ndo mna akili ?Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Alichaguliwa na watu au na Magufuli?Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Corona is real, alileta dharau. Ikapita nae.Wawafukuze tu wananchi tumeshawaelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.
2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
Huyu jamaa awe rais tu hamna namnaAskofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Unachanja kwasababu umeona ni vema kuchanja na unakataa kuchanja kwasababu pia umeona ni vema kutokuchanja.Ukweli unao mwenyewe na ambaye hajachanja!
Yeah utakataaje chanjo akati madawa yao mengine unatumia huo ni ujingaKwahiyo unataka kusema ambao hawakubali chanjo duniani kote ndo wajinga ila nyinyi tu ndo mna akili ?
Hilo ni kanisa au ni kusanyiko la wahuni?Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Una uhakika bwashee?!Ubunge wenyewe alipewa na marehemu.
Duu hili neno kuntuSi kila ugonjwa lazima utumie dawa ya hospitali.Waweza jifukiza au.kula malimao na tangawizi Kama zinakusaidia shida Nini? Kwa Nini ukomalie kila mtu achanjwe wakati immunity tunatofautiana
Wazungu immunity kwa ya mafua na Corona hawana
Mzungu mafua tu yaweza kumuua waswahili kitu kidogo
Ngozi nyeusi tuna immunity ya uhakika tusiiige ige tu
Kuna tropical disease Kama malaria kwao haipo.Si kila kilicho tishio kwao na kwetu Ni hivyo
Kaka yake Mbowe naye aliidharau?Corona is real, alileta dharau. Ikapita nae.
Unauliza makofi polisi?Una uhakika bwashee?!