#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Akamatwe kwa nguvu achanjwe kwa lazima akataka asitake
 
Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Kwahiyo unataka kusema ambao hawakubali chanjo duniani kote ndo wajinga ila nyinyi tu ndo mna akili ?
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Alichaguliwa na watu au na Magufuli?
 
Wawafukuze tu wananchi tumeshawaelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.

2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
Corona is real, alileta dharau. Ikapita nae.
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu jamaa awe rais tu hamna namna
 
Dunia itakuwa boring sana ikiwa watu wote tutafanana mitazamo, Namuelewa sana Gwaji boy Juu ya anachokifikiri Na dunia inasonga kwa ajili ya watu wa namna yake (Diversity) ni muhimu ili kubalance ecosystem.. Mimi Nimechanja ila pia siwezi kumpuuza Gwajima katika hili anatumia haki yake kikatiba kuongea, Changamoto ni kuwa katika Nchi yetu watu wanaowafata wachungaji huwa total blind kabisa pengine kwa sababu pia majority hawaja Enda shule, Wanawake hapa ni wengi zaidi
 
Ubunge wenyewe aliupat a kwa kubebwa na mwendazake.Kashagundua hakustahili kuwa bungeni anaanza kuleta vurugu.Wamelaaniwa wezi wote wa kura .
 
Ukweli unao mwenyewe na ambaye hajachanja!
Unachanja kwasababu umeona ni vema kuchanja na unakataa kuchanja kwasababu pia umeona ni vema kutokuchanja.
Majuto kama yatakuwepo ni kama aliyechanja ataanza kupata matatizo wanayosema akina gwajiboy
Na asiyechanja ni pale covid imemnasa na inamhangaisha kitandani.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo unataka kusema ambao hawakubali chanjo duniani kote ndo wajinga ila nyinyi tu ndo mna akili ?
Yeah utakataaje chanjo akati madawa yao mengine unatumia huo ni ujinga
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hilo ni kanisa au ni kusanyiko la wahuni?
 
Si kila ugonjwa lazima utumie dawa ya hospitali.Waweza jifukiza au.kula malimao na tangawizi Kama zinakusaidia shida Nini? Kwa Nini ukomalie kila mtu achanjwe wakati immunity tunatofautiana

Wazungu immunity kwa ya mafua na Corona hawana

Mzungu mafua tu yaweza kumuua waswahili kitu kidogo

Ngozi nyeusi tuna immunity ya uhakika tusiiige ige tu

Kuna tropical disease Kama malaria kwao haipo.Si kila kilicho tishio kwao na kwetu Ni hivyo
Duu hili neno kuntu
 
Huyu ndio mwanaume Tz,sio hawa wengine akija magu kwamba hamna corona wanaimba pambio hizo. Amekuja huyu kuna Corona na kuchanja,wamegeukia huko. Hawajitambui
 
Back
Top Bottom