#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Hakuhitaji kuyasema haya kama ni kweli amesema hivyo maana si ilishatangazwa ya kuwa Chanjo ni Hiyari !!
 
Rubbish Gwajiboy, hukuchaguliwa na Yeyote. Wa kumshukuru Ni Mwendazake kwa kukupa Ubunge wa dhuruma kwa Halima Mdee.
 
Keshaona maji ya shingo huyo na anajua anafukuzwa Ndo mana anasema hayo!

Chanjo ni hiari na hata Bunge lilishasema sasa anaendeleza mjadala ili iweje??

Kaona kete ya ukabila aliyotegemea kumpandisha haina nguvu tena ndo ameamua Kuna na hizi hekaya zake za abunuasi.

Ameona Pia alitoa ahadi nyingi za uongo Kawe ambazo hawezi kuzitimiza so ni bora amwage mboga ili afukuzwe na kukosa ubunge! mara chuo cha uvuvi, mara kununua boti mara kuwapeleka wanakawe marekani kumbe fix tu
 
Sio dunia nzima,baadhi tu ndio waliochanja,Marekani mpk wanakupa dola 100,ili uchanjwe.
China , Urusi, Uganda, India , Rwanda, Uingereza na kwingine wametoa hela kuchanja watu?? Mbona watu wa chato ni wajinga kiasi icho?
 
Hakuna mwanasiasa anayetimizaga ahadi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…