#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.

Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.

Wiki hii ya kesho haitoisha.
Kanisani pana hela nyingi sana
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mbona hawa wasukuma wana misimamo mizito hivyo....?

Anzia kwa magufuli, mzee cheyo na wengine kama Ngeleja yaani husimamia pale wanaposhikilia jambo lao.
 
Wawafukuze tu wananchi tumeshamuelewa hawa ndo wanamuenzi Magufuli kwa vitendo aliyesema Chanjo hazifai.

2025 tuna letu Jambo,ndo watajua nguvu ya JPM japo alipitiwa na Israel akamtwaa.
Naisubiria hiyo 2025, pakija kuchimbika lawama zote ni kwa viongozi wa sasa kwani wameyaona haya budi warekebishe hizi kasoro mapema.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.

Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.

Wiki hii ya kesho haitoisha.
Mpaka uwe na chanzo cha kupatia ugali mwingine, ndio unakuwa mwanaume
 
Anajua bado kuna sadaka za wajinga aliowadanganya Corona haitafika Tanzania.
 
Natafakari mapaji saba ya Roho Mtakatifu: Hekima, Akili, Shauri, Nguvu, Elimu, Ibada na Uchaji wa Mungu.

Nawatakia Jumapili yenye Baraka za Mapaji ya Roho Mtakatifu.
 
Huyu Gwajima kwa hili Anna watu...kwa utafiti wangu usio wa kisayansi asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanamuunga huyu Gwajima kwa suala hili la chanjo....
Nadhani hiyo asilimia inazidi kushuka siku hadi siku. Kwenye group langu la whtsapp watu walikuwa hawataki kabisa kusikia kuhusu chanjo. Mimi niliwaweka wazi kuwa nimeshachanja na nilikuwa nawajibu hizo hoja za Gwajima plus na baadhi ya clip mbalimbali za wataalamu. Kidogo kidogo wakaanza kuelimika. Hivi sasa kuna watu zaidi ya kumi wameshachanja na wengi zaidi wameahidi kuchanja wakipata nafasi.
Hivyo naamini watu wanaelewa sasa.

Nashauri elimu iendelee kutolewa ili mtu anapoamua kuchanja au la awe na hakika na maamuzi yake.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu askofu ni CHIZI na analelewa na CCM kwa kuwa akili zao zote zinafanana. Mtu hawezi kumpinga Rais hadharani halafu akaachwa bila kushughulikiwa. Hata kama Gwajima ni mfuasi wa Magufuli, hawezi kumkosea adabu mama Samia kiasi hiki halafu akaachwa tu anadunda mitaani. Kama Tundu Lissu alinusurika kifo kwa kumpinga Rais, huyu Gwajima anasubirishwa nini???
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Kwani huo ubunge nani alimlazimisha kugombea si alienda kugombea na akasaidiwa na mwendazake kushinda kwa sababu ya njaa zake binafsi? Asitutishe.
 
Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
.kuu duniani kuna wanaume wengi sana mashoga na wanaona Sana, je hiyo inahalalisha wewe pia kuwa shoga?
 
Alishinda kwa kura za wananchi?mpuuzi huyu,alipewa na Magufuli hakushinda.Mtumishi tena askofu unashiriki wizi,kweli kufika mbinguni kazi
Nashangaa jitu chumiatumbo kama hili linajiita Askofu na watu wanaliamini wakati limeshiriki wizi wa kura na mwendazake na likaingia bungeni kwa kura za maruhani. Limelaaniwa.
 
Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Tanzania tangu chanjo izinduliwe tarehe 4 August, ni watu laki 2 na ushee tu kati ya chanjo 1,084,000 zilizoletwa nchini.
Leo tarehe 15 kama mwitikio ungekuwa mkubwa, chanjo ingeisha mapema.
Watu wengi hawachanjwi.
245000/1084000% tafuta pasenti kama wajua hisabati.
 
.kuu duniani kuna wanaume wengi sana mashoga na wanaona Sana, je hiyo inahalalisha wewe pia kuwa shoga?
Mkuu msigombane bure, hata kama yeye ni shoga na anajiita mtumishi wa Mungu, muache Mungu mwenyewe atamshughulikia. Na hata akijiuzuru ubunge hiyo ni shauri yake.
 
Sasa naamini ni kweli Fl. Mbcxsha alitafunwa na huyu Gwajiboy pornstar Kinyonga.
Hata ile clip.nyingine iliyofichwa ni yeye.

Kenge sana. Kwani asipochanja yeye ndio mwisho wa dunia !!!
Umechanja??
 
Back
Top Bottom