MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,843
- 5,476
Dunia nzima wamechanja wapi?Hata mimi sichanjiHuyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia nzima wamechanja wapi?Hata mimi sichanjiHuyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Hawajachanja kwa kukataa au ni kwamba chanjo hazijawafikia?Elewa dunia nzima waliochanja hawajafika hata 20%
Kwa hiyo Dunia nzima wasio chanja wajinga halafu Wewe uliechanja ndio unajiona Genius hadi unamtukana Baba Askofu?
Hawajachanja kwa kukataa au ni kwamba chanjo hazijawafikia?
Hana lolote huyo askofu feki - keshaona changamoto za ubunge zimemzidi na kazishindwa. Ndiyo maana sasa analeta hizi drama za kitoto.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Umechanja??
Wewe umechanja?Hana lolote huyo askofu feki - keshaona changamoto za ubunge zimemzidi na kazishindwa. Ndiyo maana sasa analeta hizi drama za kitoto.
Mungu wake (Magufuli) alimdanganya ubunge ni kazi ya mteremko.
Gwajima yuko Ubungo pale Kawe yuko Mwamposya!msichokijua sadaka ya gwajima pale kawe kwa jumapili moja ni zaidi ya milioni 20+ ni sawa na mshahara wa ubunge kwa miezi miwili pia katikati siku za kawaida hakosi sadaka milioni 5 kila siku huko bungeni hana anachopoteza🙄🙄
Hebu mtaje vizuri huyo Dada nikamtafute bhana.Sasa naamini ni kweli Fl. Mbcxsha alitafunwa na huyu Gwajiboy pornstar Kinyonga.
Hata ile clip.nyingine iliyofichwa ni yeye.
Kenge sana. Kwani asipochanja yeye ndio mwisho wa dunia !!!
Wengine akina nani mimi hapa nimechanjwa Single shot 12 Aug 2021 at Maneromango hosp. Cheti watanipigia simu.Hongera Gwajima
Nilichogundua ukichanjwa Chanjo ya Corona inaua confidence
Waliochanja Chanjomwengo wanaogopa kupata Corona kuliko waliochanja.Wasoochanja hawaigopi Corona waliochanja mama weeee wanaogopa Hadi inatisha wakiiogopa kutwa.
Ukiniuliza madhara namba moja ya chanjo ya Corona Ni Nini nitakwambia insua cell za confidence!!! Mtu akichanjwa tu confidence inakufa kifo Cha mende
Hebu mtaje vizuri huyo Dada nikamtafute bhana.
Sipo dunia yangu mkuu nafuatilia kinachoendelea. Wewe umesema dunia nzima waliochanjwa ni 20% kwa hiyo chanjo imekataliwa. Nikakuuliza hii % ni kwa sababu chanjo imekataliwa au ni kwamba chanjo haijafikia walengwa?Wee upo Dunia ya peke yako ndio sababu habari ya chanjo kukataliwa haijakufikia
Hapo bado data za kupika🤣🤣🤣Tanzania tangu chanjo izinduliwe tarehe 4 August, ni watu laki 2 na ushee tu kati ya chanjo 1,084,000 zilizoletwa nchini.
Leo tarehe 15 kama mwitikio ungekuwa mkubwa, chanjo ingeisha mapema.
Watu wengi hawachanjwi.
245000/1084000% tafuta pasenti kama wajua hisabat
Askofu Josephat Gwajima amesikika akisema , yeyote atakayemlazimisha kuchanjwa watagawana majengo ya serikali.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Gwajiman na wafuasi wake hawajitambuiLeo kazi ya ubunge imekuwa ya heshima ila kipindi cha kutafuta kiki ilikuwa ni takataka tu na yeye hawezi kugombea ubunge maana ni kujishusha hadhi.......
Wrong is just wrong even if everyone is doing it.
Right is just right even if nobody does it.
Right or wrong haiwi justified na idadi ya watu, it stands on its own.
Hii ni misimamo ya kijinga, kama kweli unaamini mnachosimamia msitumie panadol na madawa yoteDunia nzima wamechanja wapi?Hata mimi sichanji
Gwajima is good and strong.Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!