#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Inatuhusu Nini wanajf? Hebu jifunze kuleta hoja za kutafakarisha humu!
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hongera ASKOFU kwa MSIMAMO Mlingoti CHUMA Bendera CHUMA wengine BENDERA fuata UPEPO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hongera Gwajima

Nilichogundua ukichanjwa Chanjo ya Corona inaua confidence

Waliochanja Chanjomwengo wanaogopa kupata Corona kuliko waliochanja.Wasoochanja hawaigopi Corona waliochanja mama weeee wanaogopa Hadi inatisha wakiiogopa kutwa.

Ukiniuliza madhara namba moja ya chanjo ya Corona Ni Nini nitakwambia insua cell za confidence!!! Mtu akichanjwa tu confidence inakufa kifo Cha mende
 
Kwani huo ubunge nani alimlazimisha kugombea si alienda kugombea na akasaidiwa na mwendazake kushinda kwa sababu ya njaa zake binafsi? Asitutishe.
Alikugaragaza vibaya pale Kawe!

Mshukuru sana Job Yustin!
 
Huyu jamaa ni kukaza kweli kweli, kwa hiyo dunia nzima walochanja ni wajinga alafu yeye ndo mwerevu?
Wrong is just wrong even if everyone is doing it.
Right is just right even if nobody does it.
Right or wrong haiwi justified na idadi ya watu, it stands on its own.
 
Gwajima yupo sahihi,chanjo Ni hiyari,chanjo Haina uhusiano wowote na ubunge,Ila kwa kuwa hii Mike inaongoza bung kipumbavu itamtoa bungeni.
 
Aache use*** anajua ni pesa kiasi gani kimetumika kumuweka hapo iwe kwa hila au kwa halali
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hamna Askofu hapo muhuni tu huyo
 
Back
Top Bottom