#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Elewa dunia nzima waliochanja hawajafika hata 20%

Kwa hiyo Dunia nzima wasio chanja wajinga halafu Wewe uliechanja ndio unajiona Genius hadi unamtukana Baba Askofu?
Hawajachanja kwa kukataa au ni kwamba chanjo hazijawafikia?
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hana lolote huyo askofu feki - keshaona changamoto za ubunge zimemzidi na kazishindwa. Ndiyo maana sasa analeta hizi drama za kitoto.

Mungu wake (Magufuli) alimdanganya ubunge ni kazi ya mteremko.
 
msichokijua sadaka ya gwajima pale kawe kwa jumapili moja ni zaidi ya milioni 20+ ni sawa na mshahara wa ubunge kwa miezi miwili pia katikati siku za kawaida hakosi sadaka milioni 5 kila siku huko bungeni hana anachopoteza🙄🙄
 
Hana lolote huyo askofu feki - keshaona changamoto za ubunge zimemzidi na kazishindwa. Ndiyo maana sasa analeta hizi drama za kitoto.

Mungu wake (Magufuli) alimdanganya ubunge ni kazi ya mteremko.
Wewe umechanja?
 
msichokijua sadaka ya gwajima pale kawe kwa jumapili moja ni zaidi ya milioni 20+ ni sawa na mshahara wa ubunge kwa miezi miwili pia katikati siku za kawaida hakosi sadaka milioni 5 kila siku huko bungeni hana anachopoteza🙄🙄
Gwajima yuko Ubungo pale Kawe yuko Mwamposya!
 
Sasa naamini ni kweli Fl. Mbcxsha alitafunwa na huyu Gwajiboy pornstar Kinyonga.
Hata ile clip.nyingine iliyofichwa ni yeye.

Kenge sana. Kwani asipochanja yeye ndio mwisho wa dunia !!!
Hebu mtaje vizuri huyo Dada nikamtafute bhana.
 
Hongera Gwajima

Nilichogundua ukichanjwa Chanjo ya Corona inaua confidence

Waliochanja Chanjomwengo wanaogopa kupata Corona kuliko waliochanja.Wasoochanja hawaigopi Corona waliochanja mama weeee wanaogopa Hadi inatisha wakiiogopa kutwa.

Ukiniuliza madhara namba moja ya chanjo ya Corona Ni Nini nitakwambia insua cell za confidence!!! Mtu akichanjwa tu confidence inakufa kifo Cha mende
Wengine akina nani mimi hapa nimechanjwa Single shot 12 Aug 2021 at Maneromango hosp. Cheti watanipigia simu.

Ni sindano ya kawaida tu sikupata joto wala kichwa kuuma wala chochote, usingizi fresh kama kawaida. Choo safi, vifaa vya uzazi pia havijaathirika na ninavyotiririka hapa nadhani umeona kwamba ubongo uko timamu.

Usiogope mkuu.
Pata data toka kwa aliyechanja.
Sio toka kwa chameleon Gwajima. Mara ooh sitaki ubunge, mara paap mhe mb.
 
Huyu alikuwa dada sasa madam unajua wakati anaimba kanisani kwake si anampa mgongo bishop anaimba anawatazama wanakanisa hunu nyuma bishop
Inaelekea alipata shida saaaana na ile fig 8 enzi hizo. Mengine ni historia.
Hebu mtaje vizuri huyo Dada nikamtafute bhana.
 
Wee upo Dunia ya peke yako ndio sababu habari ya chanjo kukataliwa haijakufikia
Sipo dunia yangu mkuu nafuatilia kinachoendelea. Wewe umesema dunia nzima waliochanjwa ni 20% kwa hiyo chanjo imekataliwa. Nikakuuliza hii % ni kwa sababu chanjo imekataliwa au ni kwamba chanjo haijafikia walengwa?

Sababu hapa jirani zetu tu Rwanda na Kenya kuna watu wamepigwa dozi moja tu ya Asra Zeneca. Hawajapata ya pili sababu production toka kiwanda cha Astra Zeneca cha India ilikata kutokana na India kuzidiwa na demand iliyosababishwa na Delta, hivyo kuweka kipaumbele kuhudumia watu wao kwanza. Kwa hiyo kuna wa Rwanda na wa Kenya wamekwama kupata chanjo ya pili kumaliza dozi, kuacha ambao hata dozi moja hawajapata!!

Upande wa pili kuna nchi zilizofanikiwa kuchanja wengi kama Israel. Takwimu za Israel hizo hapo chini:

"Nationally, some 90.2% of Israelis age 90-plus are vaccinated with at least two shots, and for the 80-89 age group the figure is 91.5%. It is even higher, 93.1%, for people in their 70s. But the rates decline among younger age groups: 87.2% for people in their 60s; 84.6 for people in their 50s and 81.2% for people in their 40s.

For Israelis in their 30s and 20s, the rates are 77.8% and 72.4% respectively. The 16-19 age group is only 68% vaccinated, and only 26.2% of 12- to 15-year-olds are fully vaccinated."

H
Tanzania tangu chanjo izinduliwe tarehe 4 August, ni watu laki 2 na ushee tu kati ya chanjo 1,084,000 zilizoletwa nchini.
Leo tarehe 15 kama mwitikio ungekuwa mkubwa, chanjo ingeisha mapema.
Watu wengi hawachanjwi.
245000/1084000% tafuta pasenti kama wajua hisabat
Hapo bado data za kupika🤣🤣🤣
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Askofu Josephat Gwajima amesikika akisema , yeyote atakayemlazimisha kuchanjwa watagawana majengo ya serikali.
 
Wrong is just wrong even if everyone is doing it.
Right is just right even if nobody does it.
Right or wrong haiwi justified na idadi ya watu, it stands on its own.

Dunia nzima wamechanja wapi?Hata mimi sichanji
Hii ni misimamo ya kijinga, kama kweli unaamini mnachosimamia msitumie panadol na madawa yote
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Gwajima is good and strong.
 
Back
Top Bottom