Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona
Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake
"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.
Nawatakia Dominica yenye baraka!
Binafsi hii inayoitwa chanjo si chanjo Ni ALAMA tu, yaan Kama vile ukienda supa market kununua bidhaa kila bidhaa ina barcord(Kama neno nmelipatia)
Tunaelekea kuwa na alama ya utambuzi, walitukosa kwenye hati ya kusafria, wakagundua kunanchi kupata hati Kama hzo Ni mlolongo mkubwa, wakaja kwenye vitambulisho vya taifa na line za cm nako wakatukosa maana mtu anaweza kuwa no ya sim ambayo si ya Jina lake,
Wakaona Sasa waje na huu mkakati, kimsingi korona ipo ila not much Ni Kama mangonjwa mengine... Kwa hyo walengwa wapo wanatafutwa tu na gwajiboy anaweza akawa wakala tu ila mziki mnene unakuja sa iv bado beat tu zinaongea..
Mwalim wangu alipokuwa ananifundisha kuchora picha ya sh kumi au sh tano, alinielekaza kuiweka chin ya karatasi na kusugua mpka picha halisi ya shilling inaonekana..
Ndipo Sasa tutaelewa tu, sa iv bado tunasugua karatasi ila mda si mrefu tutaiona picha yenyewe, na hapo ndpo tutashangaa..
Nmesoma mahali kuwa US Kuna mbunge anasema watu wanafoj vyet vya c19, na akaomba mashirika ya nchi husika kuwa makini, Sasa jiulize ujue ukiwa mwongo usiwe msahaurifu, Kama wanafoji means hz kad za korona nilazima ziwe na barcord, kwa hyo c19 Wala si c chochot, ila mhim Ni ALAMA, so far tunakwenda kuwa Kama bidhaa,
Anyway tumwombe Mungu anazo njia maelf za kutuvusha, hili nalo litapita ila litapitaje,??