#COVID19 Askofu Gwajima: Bunge linaanza kesho, sitachanja hata kama itanilazimu kupoteza Ubunge nitarudi nyumbani

Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Lakini angekuwa askofu wa kweli asingekubali ubunge uliopatikana kwa dhulma
 
Huo ndiyo uanamume. Hautingishwi kwa sababu ya kutetea ugali. Utaupata kwingine tu.

Anyway, bungeni ataruhusiwa. Ila yeye na Polepole wanafukuzwa chamani.

Wiki hii ya kesho haitoisha.
Kwanza Askofu Gwajima siyo mganga njaa!
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hakuchaguliwa na wana Kawe.Tuanzie hapo
 
Lakini angekuwa askofu wa kweli asingekubali ubunge uliopatikana kwa dhulma
Unaonaeee...eti askofu!!!
Utawala uliopita wananchi hasa washindani walikuwa wanadhulumiwa, wanakufa, wanapotea, wanatwangwa marisadmsi nk nk halafu eti yeye askofu akaungana na huo utawala na mpaka cheo cha kudhulumu kapewa...eti ni askofu!!! Embu Akacheze porno zake huko bana? Asikofu wa nani???!!!
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Bila kujali aclichokisema Gwajima, kulazimisha wabunge ni useng* mkubwa sana! Baadaye watumishi wote watalazimishwa, baadaye wananchi watafungiwa milango ya ofisi za serikali maana hakuna faida ya kuchanja wakati wanaokuzunguka hawakuchanja.

Sasa tuseme hili ni bunge la mabwege!
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hii debate kuhusiana na hii chanjo mimi hata siielewi. Hii chanjo ni ya hiari, kwani kuna mtu kamlazimisha Askofu kuchanja? Au chanji imeshabadilika tena na kuwa ni ya lazima? Kama si lazima, hii debate ni ya nini?
 
Ndugu bwana ndugai katoa kauli vikao vya bunge vikianza kila mbunge awe amechanjwa.so asiechanjwa katishia kumvua ubunge.
Ama tuseme mbunge asiechanjwa hatoweza hudhuria vikao.na ukishindwa hudhuria vikao kwa mda Fulani basi utavuliwa ubunge.
Ndo mana gwajima kajibu hivi
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Binafsi hii inayoitwa chanjo si chanjo Ni ALAMA tu, yaan Kama vile ukienda supa market kununua bidhaa kila bidhaa ina barcord(Kama neno nmelipatia)

Tunaelekea kuwa na alama ya utambuzi, walitukosa kwenye hati ya kusafria, wakagundua kunanchi kupata hati Kama hzo Ni mlolongo mkubwa, wakaja kwenye vitambulisho vya taifa na line za cm nako wakatukosa maana mtu anaweza kuwa no ya sim ambayo si ya Jina lake,

Wakaona Sasa waje na huu mkakati, kimsingi korona ipo ila not much Ni Kama mangonjwa mengine... Kwa hyo walengwa wapo wanatafutwa tu na gwajiboy anaweza akawa wakala tu ila mziki mnene unakuja sa iv bado beat tu zinaongea..

Mwalim wangu alipokuwa ananifundisha kuchora picha ya sh kumi au sh tano, alinielekaza kuiweka chin ya karatasi na kusugua mpka picha halisi ya shilling inaonekana..

Ndipo Sasa tutaelewa tu, sa iv bado tunasugua karatasi ila mda si mrefu tutaiona picha yenyewe, na hapo ndpo tutashangaa..

Nmesoma mahali kuwa US Kuna mbunge anasema watu wanafoj vyet vya c19, na akaomba mashirika ya nchi husika kuwa makini, Sasa jiulize ujue ukiwa mwongo usiwe msahaurifu, Kama wanafoji means hz kad za korona nilazima ziwe na barcord, kwa hyo c19 Wala si c chochot, ila mhim Ni ALAMA, so far tunakwenda kuwa Kama bidhaa,

Anyway tumwombe Mungu anazo njia maelf za kutuvusha, hili nalo litapita ila litapitaje,??
 
Ndugu bwana ndugai katoa kauli vikao vya bunge vikianza kila mbunge awe amechanjwa.so asiechanjwa katishia kumvua ubunge.
Ama tuseme mbunge asiechanjwa hatoweza hudhuria vikao.na ukishindwa hudhuria vikao kwa mda Fulani basi utavuliwa ubunge.
Ndo mana gwajima kajibu hivi
Sasa yeye Askofu anafuata kauli ya nani, ya Mama (au ya Serikali), au ya Spika? Swala hili ukiliangalia kisheria, lina advantage kubwa kwake kwa sababu Serikali imeshasema ni hiari kwa hiyo kitu kingine tofauti na tamko la Serikali ni batili na anao uwezo wa kwenda mahakamani kudai haki yake na uwezekano wa kushinda ni mkubwa ikiwa ni pamoja na fidia.
 
Askofu Gwajima amesema vikao vya kamati za bunge vinaanza kesho na yeye atakuwepo Dodoma lakini hatachanja chanjo ya Corona

Gwajima amesema ubunge ni kazi ya heshima na anawashukuru sana wana Kawe kwa kumchagua kuwa mbunge wao lakini kuchanja hapana hata kama itamlazimu kupoteza ubunge wake

"Nitarudi hapa nyumbani kuwatumikia' askofu Gwajima amewaambia waumini wa kanisa lake.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Aondoke tu kwani yeye ni nani?? Ucha kuwapumbaza watu
 
Sasa yeye Askofu anafuata kauli ya nani, ya Mama (au ya Serikali), au ya Spika? Swala hili ukiliangalia kisheria, lina advantage kubwa kwake kwa sababu Serikali imeshasema ni hiari kwa hiyo kitu kingine tofauti na tamko la Serikali ni batili na anao uwezo wa kwenda mahakamani kudai haki yake na uwezekano wa kushinda ni mkubwa ikiwa ni pamoja na fidia.
Spika katoa kauli kama kitisho.ndo mana nae anamjibu.
Ye anajua ni hiari lakini unamwambia mtu lazima..sasa akujibuje
Ndo kamjibu hapo sichanji na bungeni nakuja.ngoja tuone yajayo
 
Back
Top Bottom