Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

Mbona hata wewe hupumui umeshindiliwa kitu puani na huko nyuma!
Mada ni Gwajima wewe unaongelea Mbowe.Jadili mada bi Mkubwa!!
Ipo siku Mbowe atalipa huu udkteta wake

Chadema haipumi ameikalia kooni
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Source: You tube
Watu kama hawa wakipata corona hawatapata huruma ya wananchi kabisa. Time will tell.
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Source: You tube
Warumi 2

1 Kwa hiyo huna udhuru wo wote, hata ukiwa nani, unapowahukumu wengine. Kwa maana unapowahukumu wengine unajihukumu mwenyewe, kwa kuwa wewe uliye hakimu unafanya mambo hayo hayo.

2 Tunajua kwamba hukumu ya Mungu huwafikia kwa halali wote wanaotenda mambo haya.

3 Je, wewe uliye binadamu tu, unapowahukumu watu wanaofanya mambo hayo na huku wewe mwenyewe pia unafanya hayo hayo, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?

4 Au labda unadharau wingi wa huruma, uvumilivu na subira ya Mungu, ukasahau kwamba wema wake una shabaha ya kukufanya utubu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ATETEE UGALI WAKE.
corona imetubadilisha wapinzani wamegeuka upande wa ccm na upande wa ccm umegeuka upande wa upinzani.
GWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!

AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!

AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!

TIME WILL TELL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani kama angekuwa na chanzo kingine angekuwa anapayuka stejini mpaka awamu hii ya hatari.

Hii awamu unayosema ya hatari ndiyo imeongeza wateja kwa Gwajima, wengi wakiwa frustrated kimbilio ni kanisani kupata faraja za kusadikika.

Huko ndipo hukamuliwa hata kile kidogo walichokuwanacho, kwa ahadi kede kede kuwa duniani sio kwetu tunapita tu.

Kila apataye husifu akili yake.
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
CDM huyu si ni mwenzao kabisa hata kipindi kile alihusika kwa asilimia nyingi kumleta Lowasa na kumtukana sana Dr Wilibrod alipokuwa anapinga ujio Wa Ngoyai!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Gwajima ndiye aliyemfanya Slaa akaja kwenu na mkampa Ubalozi.
Kwani Slaa keshakuwa msisiem, lini katangaza hilo?

Ninavyojua aliapa kufanya siasa, lakini utawala wa Jpm anauunga mkono.

Katika uchambuzi wa serikali ya awamu ya5, maoni yake hayo ndiyo yalimpatia shavu na si kujiunga ama kurejea sisiem.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima ni kitu cha bure....kukaa kimya pia ni busara we Mzee!!

Ndiyo maana Suleiman alipoambiwa achague kipi apewe akachagua hekima, wewe mzee ungechagua chapaa...!!

Watanzania si wajinga kiasi hicho unachodhani...
 
Huyo tangu aanze kuwala kondoo wake akili zimemruka.
Laana ya uzinzi
Hapana bwana; kwani ule mzigo ulikuwa real? Ila duh ulikiwa wa kimataifa aisee!! Vifara zote swaafii
 
Back
Top Bottom