Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

GWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!

AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!

AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!

TIME WILL TELL

Gwajima siku zote ni mtumishi wa shetani na hilo limedhihilishwa na mapepo yake ya uzinzi!!
 
Naona Baba askofu naye anafuata uelekeo wa upepo
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
Askofu wa wajinga kuweni makini sana naye.
 
Lazima aweweseke, lile Hummer litatembeaje kama si kwa mafuta yanayonunuliwa na sadaka za waumini?

Mim nasema waliosoma saikolojia na sosholojia waimarishe huduma za ushauri nasaha kwa jamii. Wengi wa waumin wa makanisa haya ni watu wanaohitaji counselling na faraja tu. Gwajiboy anamiliki bastola na ana walinzi binafsi zaidi ya 3, halafu anakushawishi maskin weye usijikinge na corona.
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
Huyo Gwajima ni Pepo .kama akifunga kanisa sadaka atapataje? Na mademu wazuri atawapatia wapi ? Wajinga ndio watamsapoti. Wanaosali kwa Gwajima wote wajinga
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
Huyu nae kama Nyani anarukia kila tawi,tawi hili likidondoka anarukia jingine.
 
Wateja wengi wa haya makanisa ya kina Gwajima ni wale wasomi waliochanganyikiwa kwa kukosa ajira na ndoa zao kuvunjika na waliolaaniwa kwa wazazi wao ndio maana wanatangatanga sasa wanaongozwa na Tapeli amewateka kwa nguvu za giza
 
Kwa hiyo wewe mtu akisema jambo la hovyo utamshangilia kwasababu awapo awali aliwahi kusema jambo lililokufurahisha??
Papai bichi wewe.
Usiwe mpumbavu!

Gwajima aliwahi kuwa kama hivi alivyo leo, wakati wengine tunaonya aache siasa wewe ulikuwa unakata viuno kushangilia na jumapili asububi ulikuwa unawahi siti za mbele ili msikilize mnaita ubuyu mkiongizwa na yule kilaza wenu wa instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi vile nina mahaba na pombe,nikisikia mtu anasema viwanda vya pombe vifungwe lazima nitahisi ana mapepo.

Ukisoma comments humu ndio unapoona uelewa mdogo wa watu wengi hapa
Dunia nzima inapambana... Na karibu kote wanafuata masharti na ushauri toka WHO bado kundi kubwa la watu hawaelewi nini kinaendelea duniani.... Pasipo tahadhari madhubuti hakika wengi tutateketea....
Mikusanyiko Ya nyumba za ibada ilipaswa kusimama nchi nzima,... Bungeni kumeonekana dhahiri maambukizi yameingia lakini walioshauri kujitenga wanaonekana wajinga kweli? Tuko serious ktk mapambano haya? Hadi tutakapoanza kupukutika ndio akili zirudi? Kwanini hatujifunzi toka kwa nchi zilizoathirika tukaanza chukua tahadhari kabla ya majuto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mchungaji mla kondoo simwelewagi, ana kichwa kidogo kama akili yake, serikali ipige stop tu hii mikusanyiko ya makanisani maana tunampa mwanya mkubwa adui corona asiyeonekana.
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
ROMA kwa papa walifunga makanisa,kupunguza kasi ya maambukizi,GWAJI MTABIRI WA UONGO, anajifanya anaongea na Mungu kumbe MWONGO TU!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.

Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.

Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.

Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"

Chanzo: You tube
Nani mwenye ike video ya Gwajima akimzini kondoo wake aiweke hapa?
Maana ule mtetemo aliokuwa akitoa baada ya kunogewa ni zaidi ya mtu aliyepagawa na mapepo.
Hii video ndio iliyomwingiza gwajima kifungoni kumtumikia bwana yule aliye iibua. Hii video itamtesa gwajima hadi utawala wa awamu ya tano utakapo ondoka madarakani.
Utumwa mbaya sana, ila utumwa huu uliutaka mwenyewe kwa kuendekeza ngono huku ukiwa umejipachika kazi ya utumishi wa Bwana.
Teseka tu baba hakuna namna ya kukuokoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom