Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Ipo siku Mbowe atalipa huu udkteta wake
Chadema haipumi ameikalia kooni
Ulishamkana kitambo tuu, hapo unahitimisha tuubasi namkana hadharani huyo sie Mungu wangu
Ana resources nyingi sana huyo hategemei sadakaUnadhani kama angekuwa na chanzo kingine angekuwa anapayuka stejini mpaka awamu hii ya hatari.
Watu kama hawa wakipata corona hawatapata huruma ya wananchi kabisa. Time will tell.Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Bwashee, mtumishi wa Mungu na Corona wapi na wapi?Watu kama hawa wakipata corona hawatapata huruma ya wananchi kabisa. Time will tell.
Warumi 2Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Source: You tube
Mtu mwenye resources amepumzika kwake ahangaiki na vitu vya kuhatarisha usalama wakeAna resources nyingi sana huyo hategemei sadaka
Kwenda ibadani ni kuhatarisha usalama? kuna kitu kipo tofauti kwenye ubongo wakoMtu mwenye resources amepumzika kwake ahangaiki na vitu vya kuhatarisha usalama wake
GWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!
AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!
AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!
TIME WILL TELL
Mkuu umekibonyeza sana, utakiharibu!Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
Sadaka na mpiga dili tuGWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!
AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!
AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!
TIME WILL TELL
huenda mkuuuKwenda ibadani ni kuhatarisha usalama? kuna kitu kipo tofauti kwenye ubongo wako
Unadhani kama angekuwa na chanzo kingine angekuwa anapayuka stejini mpaka awamu hii ya hatari.
CDM huyu si ni mwenzao kabisa hata kipindi kile alihusika kwa asilimia nyingi kumleta Lowasa na kumtukana sana Dr Wilibrod alipokuwa anapinga ujio Wa Ngoyai!?Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
Kwani Slaa keshakuwa msisiem, lini katangaza hilo?Na Gwajima ndiye aliyemfanya Slaa akaja kwenu na mkampa Ubalozi.
Hapana bwana; kwani ule mzigo ulikuwa real? Ila duh ulikiwa wa kimataifa aisee!! Vifara zote swaafiiHuyo tangu aanze kuwala kondoo wake akili zimemruka.
Laana ya uzinzi