GWAJIMA KWA HILI AMEPOTOKA!
AMEJIDHIHIRISHA JINSI GANI AMEWEKA SADAKA MBELE KULIKO UHAI WA WAUMINI WAKE!
AMETOKA KUWA MTUMISHI WA MUNGU NA KUWA MTUMISHI WA SHETANI!
TIME WILL TELL
Askofu wa wajinga kuweni makini sana naye.Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
Wale mapadre 20 waliokufa kule italy ni watumishi wa shetani?Bwashee, mtumishi wa Mungu na Corona wapi na wapi?
Huyo Gwajima ni Pepo .kama akifunga kanisa sadaka atapataje? Na mademu wazuri atawapatia wapi ? Wajinga ndio watamsapoti. Wanaosali kwa Gwajima wote wajingaMambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
Wakati huo, ulimtetea hivi?Vipi hata kipindi kile akijiiita mshenga wa Lowasa ulikuwa unamjibu kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nae kama Nyani anarukia kila tawi,tawi hili likidondoka anarukia jingine.Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
Kwetu wetuNa Gwajima ndiye aliyemfanya Slaa akaja kwenu na mkampa Ubalozi.
Usiwe mpumbavu!Kwa hiyo wewe mtu akisema jambo la hovyo utamshangilia kwasababu awapo awali aliwahi kusema jambo lililokufurahisha??
Papai bichi wewe.
Duh!Ngoja ale mapapai yamuambukize corona si kazoea kuyala bila barakoa
Yeye ameshakemea yale mapepo yake ya kuwala wanakondoo wake wanaokaa tu kitandani kama gogo?
Gwaji boy anatumia madhabau vibayaπ π π π

ROMA kwa papa walifunga makanisa,kupunguza kasi ya maambukizi,GWAJI MTABIRI WA UONGO, anajifanya anaongea na Mungu kumbe MWONGO TU!Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.
Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo.
Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama chao ndio kinalazimisha makanisa yafungwe na hiyo ni kazi ya yule Mpinga Kristo.
Lakini askofu amesisitiza kuwa Chadema wameshashindwa katika jina la Yesu na kamwe Kanisa halitafungwa kwa hofu ya Corona ya " mapapai"
Chanzo: You tube
Nani mwenye ike video ya Gwajima akimzini kondoo wake aiweke hapa?Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima.