Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Uwe unasoma biblia yako, mambo yote yapo humo.
Huyu anayeropoka hivi hajachomwa sindano ya ndui pepopunda?Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.
Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.
Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.
Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.
Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.
huyu jamaa anawadanganya sana hawa waumini wake asome vizuri kitabu cha ufunuo na Daniel, hiyo 666 si kama anavoifikiria yeye. Hivi hawa wazungu wakituhitaji tunachomokea wapi?Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.
Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.
Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.
Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.
Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.
Hizi ndizo AKILI ya mtu ambaye ni MBUNGE. Kazi ipoAskofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.
Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.
Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.
Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.
Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.
Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua
mwenye masikio na asikie, hivi hua hamjiulizi kwanini kipindi flan corona ilislow down ila baada ya chanjo kuanza kurollout ghafla tukaambiwa kuna strain mpya ya hizo virus? mbaya zaidi sasa tunaambiwa moja ya hizo new variant zimepatikana kwa watu kutoka TZ? kama unaamua kua mbishi ni ruksa kwàni maisha ni yako na mwamuzi wa maisha yako ni wewe mwenyewe... Personally nasimama na GWAJIMA ila kama nabugi step Mungu aniongoze In Sha Allah...
Mwakilishi wa wananchi Bungeni. Sijui tunaenda wapi?Hizi ndizo AKILI ya mtu ambaye ni MBUNGE. Kazi ipo
Qanon wa Tanzania huyu. Mzee wa conspiracy theories.Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.