#COVID19 Askofu Gwajima: Chanjo ya Corona ni hatari, ni chapa ya mpinga Kristo, Mataifa kututenga kwa sababu hatujachanjwa ni mwanzo wa Uchumi wetu kukua

Naomba kuuliza wadau hivi hakujawahi kua na ugonjwa mkubwa duniani kama au zaidi ya hii corona??
Kwa waliokuepo kipindi icho hali ilikuaje na upatikanaji wa dawa ulikuaje??. Mbona saivi watu wanaaminishwa sana kuhusu siku za mwisho kwani hakujawai kua na magonjwa kama haya??
 
Kuna wale jamaa (Wana wa Israeli), wakiwa jangwani si walimkasirisha Bwana Mungu, akaacha kuwapa ulinzi wake, ndipo nyoka wa jangwani wakaanza kujinafasi kwa kuwagonga Sana.

Walipolia Sana, Musa akaambiwa atengeneze nyoka wa shaba, kila aliyekuwa akimtazama nyoka huyo pindi baada ya kugongwa na nyoka, alipona, aliyegongwa na nyoka na akagoma kumuangalia nyoka wa shaba, alikufa.

Point: Mungu angeweza kuwaambia waombe uponyaji pekee na wasisumbuke kutengeneza nyoka wa shaba.

Ni hayo tu kwa leo.
 
Wapuuzi kama Gwajima ndo wale miaka ile wana UKIMWI wanenda kwa mganga et katupiwa jini,ama kweli afrika ni shithole Trump hakukosea, halafu anajiita mchungaji hawa ndo watu ambao ni zero brain MTU anaumwa polio yeye anamkemea anasema pepo kumbe mgonjwa ana pepopunda haaaahaaahaa had I huruma!
 
Huyu jamaa ni muongo sana na hana upako wowote na anaongoza mazezeta kanisani kwake ..maana ana danganya wazi wazi tena mambo mengi halafu ipo kimya...akacheze porn
 
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.

Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.

Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.

Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.

Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.

Huyu anayeropoka hivi hajachomwa sindano ya ndui pepopunda?

Atakuja kuua watu huyu.
Mchungaji akishaanza kuwa m conspiracy theorist ujue hapo kitakachotokea ni kama kibwetere.

Kwa sababu mambo ya kiimani ni ngumu sana kuweka uthibitisho wake
 
Ilitangazwa kuwa mambo ya Korona hairuhusiwi kuzumuziwa na kira mtu hadi wenye mamraka! Sasa huu mukixhaaa mbona anapotosha?
 
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.

Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.

Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.

Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.

Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.

huyu jamaa anawadanganya sana hawa waumini wake asome vizuri kitabu cha ufunuo na Daniel, hiyo 666 si kama anavoifikiria yeye. Hivi hawa wazungu wakituhitaji tunachomokea wapi?
mbona chango ziko nyingi sana hapa tz na Afrika tukianzia polio,surua, ini, nk. madawa ya hosp tunatoa kwao, kondom wao, hivi wangesubiri corona kweli? alafu kutopokea chanjo kunawezaje kukuza uchumi wa nchi. Kila kitu tunatumia cha kwao.
 
Huyu sio wa kumchekea ni mtu hatari kuliko corona yenyewe hatari sana, Hao wazungu ingekuwa ni kweli wangetupa chanjo sisi kwanza lakini ndio kwanza mpaka WHO wamelalamika mataifa tajiri wanajiwazia wao tu. Basi angesema tu hata chanjo za watoto hatari sana maana zinatoka kwa hao wazungu. sote mashahidi toka chanzo za watoto ziwe za bura na lazima vifo vya watoto vimepungua sana. Huyu ni mwendazimu bahati mbaya kuna watu wanamfuatilia na kushangilia. Shame
 
Tukifanya mchezo Tz itakuja kutengwa kote na wala hatakubaliwa kuingia nchi yoyote. Majanga kuongozwa na watu wa aina hii. shame kwa CCM. Kikwete nakupenda sana lakini katika hili unawajibika
 
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.

Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.

Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.

Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.

Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.

Hizi ndizo AKILI ya mtu ambaye ni MBUNGE. Kazi ipo
 
Tumeshaambiwa msemaji ni serikali tu katika mambo haya ya corona. Sasa kama serikali inaruhusu mtu kuja kuongelea maoni yake kuhusu corona kuwa hakuna basi kuna haki pia ya wenye kuamini corona ipo kuongea maana hatuwezi kuacha mijitu mijinga kupotosha watu kwa kumtumia Mungu. Mungu katupa maarifa na ndio wenzetu wanatumia, kuna dawa kila aina, machine za kuokoa maisha ya watu chungu nzima haya yote yanatoka kwa hawa wenzetu ambao wanatumia maarifa aliyotupa Mungu sisi tuna nini? leo hii watugomee kutupa dawa au vifaa vya kitabibu... tutakufa kama kuku
 
Gwajima ameongea point Sana lakini watu msio jielewa mnanwabwaja tu fanyeni utafiti kuhusu hii chanjo mme kaa kwenye kibodi tu hapo mnaandika vitu msivyo vijua

Kasome bandiko la Malisa GJ lililopo Facebook.
 
mwenye masikio na asikie, hivi hua hamjiulizi kwanini kipindi flan corona ilislow down ila baada ya chanjo kuanza kurollout ghafla tukaambiwa kuna strain mpya ya hizo virus? mbaya zaidi sasa tunaambiwa moja ya hizo new variant zimepatikana kwa watu kutoka TZ? kama unaamua kua mbishi ni ruksa kwàni maisha ni yako na mwamuzi wa maisha yako ni wewe mwenyewe... Personally nasimama na GWAJIMA ila kama nabugi step Mungu aniongoze In Sha Allah...

Good luck on wrong and thinking capacity.!
 
Askofu Gwajima ameonya waumini wake kwamba chanjo ya corona ni hatari, na kusisitiza hakuna haja ya kuchanja watanzania kwa sababu Tanzania hakuna corona. Askofu Gwajima amesema kilichopo hivi sasa ni hofu ya corona ambayo ina nguvu kuliko corona yenyewe.

Askofu Gwajima amesema kwamba chanjo ya corona inageuza mwanadamu kuwa mwandamu wa aina nyingine, kwamba chanjo hiyo inakubadilisha uwezo wa kufikiri, hisia na maamuzi.

Amesema kwamba Tanzania itakapotengwa kwa kugoma kuchanjwa ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi mkubwa duniani, amesema hiyo itasababishwa na wazungu mabilionea wenye akili watakogundua kuwa kuna taifa moja pekee ambalo halichanji watu wake na hivyo wazungu hao mabilionea watakuja na kuanza maisha yao nchini Tanzania na kuhamishia biashara zao kubwa nchini Tanzania.

Amesisitiza kuwa alipata maono miaka 25 iliyopita kuwa wazungu wengi watakuwa ubalozi wa Tanzania wakifurika kuomba visa ya kuja kuishi Tanzania.

Askofu Gwajima amesali na kuomba serikali na viongozi wa Tanzania wagome kuchanja watu kwa maana ndio itakuwa mwanzo wa Tanzania kuwa na uchumi imara.

Qanon wa Tanzania huyu. Mzee wa conspiracy theories.
 
What a bullshit, halafu eti ni mtunga sheria za nchi huyu....
 
Back
Top Bottom