PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzee wa mkono wa baunsa kama anafinya vile halafu anapiga 🤣🤣🤣🤣kachakaza ki Phd sana ukiwa na akili Mnemba huwezi muelewa lakini ame deliver bonge la meseji
 
Mkuki kwa mchinjaji nguruwe kwa mwenye nguruwe, (mfugaji), mchungu, kikikiki
 
Hapo
Gwaji boy kapiga penyewe 🙌🏾
 
Raia wa Tanzania hawapo salama tena.
Jukumu namba 1 la kiongozi ni kuwalinda raia wake.Ndo maana Marekani mmarekani akiwa sehemu yoyote ile hatari ataokolewa kwa nguvu zote.lakini sisi huku kifo ni kifo.
Mungu ni mwingi wa kudra
 
Askofu Gwajima ametumika kama Speaker tu, Ila nyuma yake kuna MIC nyingi sana.

Ukiona moshi, basi jua Moto unakaribia kuwaka.

Acha tujipe muda.

kuna kundi kubwa sana ndani ya chama hawakuelewa wala kukubali kilichotokea kwenye mkutano pale Dodoma 19/01/2025.

tatizo Kikwete anasubiri hadi mambo yaharibike sana
 
Kipimo cha kwamba una akili timamu ni huruma.
Inasikitisha sana ndugu zetu kuuawa na kutekwa kwa wingi namna hii.
Ee Mungu fanya kitu sasa.
CCM na vyama vingine ni takataka tu mbele ya maslahi ya taifa.
Taifa letu nakupenda sana.
 
Dr Gwajima ni kiongozi msema kweli siyo mnafiki hata kidogo katika ili he kesho akitekwa mke wa kiongozi mkubwa watakaa kimya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…