#COVID19 Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

Ujinga mkubwa kabisa, ni kushindwa kujibu hoja na kuanza kufokea watoa hoja, na wewe ni miongoni mwao, wewe ni zuzu, jibuni hoja za Gwajima siyo kukimbila kubwabwaja na habari za filam!!
 

Na kaswali kamoja tu ivi kwanini hamjibu hoja zake?
 
Unaweza kuta anaangalia na zile nyingine pia..
 
Hahahaahaaaa...
Kwa hiyo wote ni wazee wa story za kubumba!!?.
 
No, Gwajima yuko sahihi 100%
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umeandika ukweli kabisa. Gwajima kuna mambo mengi anajigamba nayo kanisani kwake kwenye mahubiri lakini mtu mwenye akili huwezi kuamini hata kidogo.

Eti anasema vaccine za covid zimewekwa chip! Kwa mtu asiyejua chip ni nini anaweza kuamini. Hebu tujiulize. Hizo chip zinawekwa ngapi kwenye chupa moja? (chupa moja inaweza kutumika na zaidi ya mtu mmoja).

Na wakiweka chip zaidi ya moja watajuaje kila chip itaenda kwa mtu mmoja tu na si zote ziingie kwenye mwili wa mtu mmoja? Na zikingia kwenye mzunguko wa damu hazitoki? Zitakaa wapi?

Yaani tuhuma zake za kijinga hazileti sense hata kidogo lakini kwa bahati mbaya sana utasikia baadhi ya wabongo wakikomaa eti mbona ''hoja'' zake hazijibiwi
 
We sema tu unatetea ugali huna lolote. Hao wazungu wanaosambaza clip za madhara ya hiyo chanjo kuhusu kutumika kwa nano technology unawazungumziaje au nao ni mafala na mbona wao huko kwao ambako ndo kitovu cha hiyo biashara hatujasikia wakikamatwa.

Bwana dalali ebu tupeleke polepole
 
Hao walikuwa wanalinda vitumbua vyao visiingie mchanga
Kwa nini na sasa hivi tusiamini wanalinda ugali wao pia? Waziri wa Afya miezi michache nyuma alikuwa anakula mitishamba na alidefy science. Leo bila aibu wala kuomba radhi ameshupaza shingo na chanjo. She cannot be trusted.
 
Dalali wa nini mimi? Mimi ni mwakilishi wa viwanda vya chanjo? Hivi unajua hata hizi chanjo za watoto kuna watu wanazipinga kila sehemu? Hivi unajua UKIMWI kuna watu Marekani wanahubiri kuwa haupo? Wewe jambo likipingwa na ''wazungu'' ndiyo linakuwa ukweli. Umekaririshwa ''nano technology'' sidhani hata kama unajua maana yake. Nikikuambia uelezee sana sana utatumia maelezo ya Gwajima the porn star ambayo nayo ni upotoshaji wa hali ya juu.
 
Wanasayansi kama wanaakili kama zako, nao kumbe ni mazuzu tu!!

Ni mjinga tu anayeona hoja za Gwajima siyo hoja!


Gwajima hana hoja isipokuwa anapaswa apewe ushauri wa kisaikolojia kuwa aachane na kuangalia Sana fiction movies

Zinamuathiri Kwa kweli
 
Kwa nini na sasa hivi tusiamini wanalinda ugali wao pia? Waziri wa Afya miezi michache nyuma alikuwa anakula mitishamba na alidefy science. Leo bila aibu wala kuomba radhi ameshupaza shingo na chanjo. She cannot be trusted.


Kwani Chanjo imeletwa lini Boss??
 
Sawa tu
Mwili wangu
Maamuzi yangu
Yanini kuumizana na masindano hata wanao chanja haawaelei nini wanachanja


Sasa Kama mtu hujawahi kupande Ndege na huna mpango wa kwenda nchi za mbali unafikiri hili la Chanjo linakuhusu Mkuu?

Binafsi siiogopi hiyo Chanjo, yaani niogope kisa nimemsikia muangalia Filamu za kizombi akinitisha πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Ujinga mkubwa kabisa, ni kushindwa kujibu hoja na kuanza kufokea watoa hoja, na wewe ni miongoni mwao, wewe ni zuzu, jibuni hoja za Gwajima siyo kukimbila kubwabwaja na habari za filam!!

Yaani mtu atoe hoja Kwa mtu anayetoa Porojo za movies.
Unazingua ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…