Askofu Gwajima: Kamati ya Bunge imenifanya nionekane kama Jitu baya na Korofi, sasa hili ndio lililojiri kikaoni

Huyu adabu yake ni akamtwe na achanjwe kwa lazima, tuone kama ataleta tena ngebe
 
Matayo 7:22-23👇👇👇
22 Siku ile itakapofika wengi wataniambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’
 
Hahaha, Twanga kabisa hao, mimi ningekua polisi ningekuwa navunja viuno kabisa, especially ningekukamata wewe na mashairi yako

Uwanja huu ndiyo wenu sisi hautuhusu endeleeni nao wenyewe
 
Hawezi kumuombea mtu aliye karibu na " Mume wa Maria "
 
Wa kumzuia bado hajazaliwa!! Serikali hata kama ni ndogo, usicheze na dola, bora uhame kwenye hiyo dola. Hata kwenye maandiko yanatilia mkazo namna ya kuitii dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…