Whatever, haimuondolei kuwa tapeli wa dini, mjasiliadini.Aliikopesha Chadema zaidi ya tsh 3 bilioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whatever, haimuondolei kuwa tapeli wa dini, mjasiliadini.Aliikopesha Chadema zaidi ya tsh 3 bilioni
Hahaha, Twanga kabisa hao, mimi ningekua polisi ningekuwa navunja viuno kabisa, especially ningekukamata wewe na mashairi yakoCc: Naipendatz stakehigh mnakwitwa nyumbani huku
Kwani kuna ulazima wa wewe kusikiliza hizo kelele si uzibe tu masikioSi alishaomba msamaha? Akae atulie anatupigia makelele tu
Ni kama gaidi kuongoza chama cha siasa!Whatever, haimuondolei kuwa tapeli wa dini, mjasiliadini.
Wabongo mbumbumbu sanaYou tube bwashee!
Huyu adabu yake ni akamtwe na achanjwe kwa lazima, tuone kama ataleta tena ngebeAskofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge.
Updates;
Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo niliongea kwa uwezo wa Roho mtakatifu.
Pili, nimeijulisha kamati ya bunge kwamba sisi Kanisa la ufufuo na uzima hatutachanja iwe leo au kesho
Tatu, nimewajulisha kwamba hakuna mtu wa kunizuia na kwamba mtu huyo bado hajazaliwa.
Sasa askofu Gwajima anaelezea umuhimu wa Royal tour inayofanywa na Rais Samia.
Fabricated ugaidi na UshungiNi kama gaidi kuongoza chama cha siasa!
Anaongea kinyume kuwa mtu wa kumzuia kwa sasa ameshafukiwa huko kitovuni ChatoTatu, nimewajulisha kwamba hakuna mtu wa kunizuia na kwamba mtu huyo bado hajazaliwa.
Hahaha, Twanga kabisa hao, mimi ningekua polisi ningekuwa navunja viuno kabisa, especially ningekukamata wewe na mashairi yako
Shida ya Rashid ni tamaa ya madaraka na umaarufuTujiulize wanajf, hivi huyo Yesu anayemsema aliwahi gombea nafasi yoyote kama vile uliwali!!?
Ukimuona kiongozi yeyote wa dini anaingia katika siasa uje ameshakuwa muasi.Dini na siasa ni kama mafuta na maji siku zoteAchague moja dini ama siasa
Hawezi kumuombea mtu aliye karibu na " Mume wa Maria "Askofu Gwajima yuko mubashara Rudisha Online tv anatoa ufsfanuzi na kujibu yale yaliyosemwa na kamati e maadili ya bunge.
Updates;
Niliitwa na kamati ya maadili ya bunge na kunihoji yale niliyohubiri Kanisani nami nikawaambia wao hawana mandate ya kuhoji kile kilichotokea Kanisani ambapo niliongea kwa uwezo wa Roho mtakatifu.
Pili, nimeijulisha kamati ya bunge kwamba sisi Kanisa la ufufuo na uzima hatutachanja iwe leo au kesho
Tatu, nimewajulisha kwamba hakuna mtu wa kunizuia na kwamba mtu huyo bado hajazaliwa.
Sasa askofu Gwajima anaelezea umuhimu wa Royal tour inayofanywa na Rais Samia.
Mwisho askofu Gwajima amefanya maombi rasmi kwa Rais Samia, makamu wa Rais Dr Mpango na Jaji mkuu Prof Juma
Tofauti na ibada nyingine leo askofu Gwajima hajamuombea Spika Ndugai, Naibu spika Dr Tulia wala muhimili wa bunge.
Mwimbo ulioongoza ibada ni " Msalaba mbele dunia nyuma"
Achague moja dini ama siasa
Mtikila wa magabachori!Aendelee na dini na huku kwenye siasa awape vidonge vyao ...tunakaribia kupata mrithi wa mtikila mungu anatusikiliza