Askofu Gwajima kaufyata?


Unaweza kusema kuwa KAUFYATA au WAMEUFYATA WAO iwapo Mch. Gwajima AMECHANJA au HAJACHANJA chanjo ya UVIKO - 19...

JIBU NI:

1. Bishop Rev. Josephat Gwajima hajachanja, yupo tist na msimamo wake na mjadala huo ameshaufunga...

2. CCM ya wahafidhina ilikuwa na movement ya kumfukuza na kumfuta uanachama. Tuwaulize wao, WAMEUFYATA au WANAENDELEA...?

Nadhani jibu ni: CCM WAMEUFYATA KWA MCH. GWAJIMA...!!
 
Watanzania nan aliyeturoga?
Yawezekanaa unafrahia sana battle za gwajima.
Huyo umaarufu hajaupata ccm wala kwenye ubunge na wala hawezi kuupoteza huko.
 
Wewe unaoma hiyo korona kuna mtu anahangaika nayo? Best hayo yote unayoyaona yanafavywa na serkali ili wapate hela hawana la maana lolote! Wanahamasisha uvaaji barakoa na chanjo ili waomekane na watoa misaada hamana kingine hapo!

unacho kiongea ni ukweli kabisa best,
sema basi tuu, fact zakupinga c19 ndo tunakosa..
 
Kwa nini Mrundi asiwe raia? Unaamuaje kama mtu ni Mrundi?
 
Ameufyata baada ya ule mkwara mzito wa mzee wa Upako.
Huwa hana kawaida ya kuto kujibu mashambulizi, lakini lile konde kutoka kwa mzee wa Upako lilimfanya atulize mbongo.
 
Hakuna ww ni mchonganishi hupendi kuona amani ikitawala
Mkuu wanasiasa ni public figure,Kama walivo Maaskofu ,ni lazima tujue mien3ndo yao!
Mara zote alikuwa anarusha clip tujiandae na makombora ,Leo ametulia tumsimuulizie!
Kama unampenda Sana ...Mkono wa Baunsa,acha wenzio tumfuatilie Public Figure wetu!
Tunauliza Tena ...hiki kimyaa Cha Gwajima kulikoni ...kaufyata?!?!
 
Tatizo la TZ ni ujuaji, sasa na wewe unajiona una akili timamu kisa tu umevaa kigauni chako, shanga, na pedi. Dadangu tumia akili yako kwa usahihi, Corona imeua wengi sana.
 
Ukitaka kujua nguvu ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge muulize Kaka Paskali. Na yeye aliishawahi kwenda huko.
 
kuna watu wakikwambia achaa na ukaendelea we ni mwanaume na huna maisha marefu......
 
Kwa nini Mrundi asiwe raia? Unaamuaje kama mtu ni Mrundi?
Soma sheria za Uhamiaji uelimike.
Na mikoa ya Geita, Kigoma ni sehemu zenye wahamiaji haramu wengi toka Burundi.
Kuwa Mtanzania lazima sheria na tarstibu zifuatwe, na kama Kasheku hajaujana ubin wa baba yaje na kujiandikisha rasmi Uhamiaji basi ana matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…