The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Mambo yanakwenda kwa Kasi sana!
Miezi miwili iliyjopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana naKupinga chanjo ya Corona.
Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa ,kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa Hilo Mungu alilimalia au atalimaliza bila Sayansi.
Cha ajabu baada ya kibano alichopewa na Bunge ,Askofu Gwajima amepoa saana!
Tatizo ni Nini ...amelegea au kalegezwa.
Tulitegemea hata haya yanayoitwa Matrilioni ya IMF kuhsu Korona ayasuse.
Ndio maana kwenye Siasa unaambiwa ...UWE NA AKIBA YA MANENO.
Askofu Gwajima upo!?
Unaweza kusema kuwa KAUFYATA au WAMEUFYATA WAO iwapo Mch. Gwajima AMECHANJA au HAJACHANJA chanjo ya UVIKO - 19...
JIBU NI:
1. Bishop Rev. Josephat Gwajima hajachanja, yupo tist na msimamo wake na mjadala huo ameshaufunga...
2. CCM ya wahafidhina ilikuwa na movement ya kumfukuza na kumfuta uanachama. Tuwaulize wao, WAMEUFYATA au WANAENDELEA...?
Nadhani jibu ni: CCM WAMEUFYATA KWA MCH. GWAJIMA...!!