Askofu Gwajima kaufyata?

Askofu Gwajima kaufyata?

Lazima ile clip anakula uroda kilikuwa ni kipande kifupi tu
Wazee wa suti inawezekana wako na full video na wamemblackmail nayo kuirelease...
Si mnakumbuka pasco alipotoka kuhojiwa bungeni akaanza kuunga juhudi..
Naye nasikia ana msala wa bandari aliwahi kutiwa nguvuni kinyume na utashi wake.
 
MTAPIGA KELELE SANA,ILA SISI HUKU MIKOANI CORONA HATUIJUI.IPO KWENYE AGENTS WA NWO,WANASIASA NA VYOMBO VYA HABARI.KWETU SISI WANANCHI IT IS BUSINESS AS USUAL.LABDA WALE WAJINGA WACHACHE.
Mkuu Kama hujagyswa mshukuru Mungu acha kujitweza! Huna ubavu wowote kwenye hili !
 
Ana kanisa la ufufuo kumbe???
Msajiri wa nyumba za ibadi nashauri fungia leseni ya hilo bunge la waumini wa gwaji boy hakuna ibada ila wamekuwa wanaharakati wa kupingana na serikali.
 
Kabla ya kumlaumu Gwaji Boy,Fuatilia na kufanya Tathimini ya wanaochanja ni Wangapi! Yaani alishamwaga Sumu amemaliza,kazi ni kwa serikali kubembeleza watu wachanje! Ila kama tungemsikia AKIKANUSHA Maneno yake na kuwataka watu wachanje,tungesema Serikali imemtisha na ameufyata Mkia.
Mkuu wewe umeshachanja?
 
Mkuu Kama hujagyswa mshukuru Mungu acha kujitweza! Huna ubavu wowote kwenye hili !
Naomba nieleweke,huku vijini sisi hatuijui Corona.Sasa niseme uongo ipo kumbe hakuna,vipi wewe?Mnayo midomoni mwenu!Msilazimishe mambo kwa maslahi yenu.Watu wanaugua vitu vingine mnadanganya watu ni Corona.Hovyo kabisa.
 
Naomba nieleweke,huku vijini sisi hatuijui Corona.Sasa niseme uongo ipo kumbe hakuna,vipi wewe?Mnayo midomoni mwenu!Msilazimishe mambo kwa maslahi yenu.Watu wanaugua vitu vingine mnadanganya watu ni Corona.Hovyo kabisa.
Ndio maana nakwambia kkama kijijini kwako hakuna au huku expreince Corona mshukuru Mungu !
 
Ndio maana nakwambia kkama kijijini kwako hakuna au huku expreince Corona mshukuru Mungu !
Wewe husafiri labda,mimi nasafiri sana,this is the situation all over Tanzania.Mkuu niseme hivii,Watanzania sio wajinga.Corona kweli ingekuwepo,kusingekuwa na haja ya kupiga kelele,watu wangeogopa na kufuata masharti.Sasa hawaoni tatizo,why comply.Kiukweli wanaona ni talalila tu.
 
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu.

mnapenda sana kumchanganya huyo jamaa na mambo yenu ya ajabu ajabu.

yeye anahusika na chanjo kivipi!!na kivipi gwajina anaondoa utulivu mtaani!!!
 
Alisema Doroth na Mollel wasipojiuzuru naye hatanyamaza mpaka wajiuzuru,
kwani wameshajiuzuru😀😀

Kama Unaweza search YouTube
Andika
Gwajima kwa mmbarikiwa mwakipesile
Usikilize mahubiri yake ya juzi tu wiki iliyopita
Ndo utajua kwamba mwamba hajaacha
And by the way mbona hata Dorothy siku hizi kimdomo hakipo
 
Back
Top Bottom