bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Ikiingia TRA tu ikapiga mahesabu ya kodi basi hakuna tena amani hapo.Hana ubavu wa kuikosoa serikali maana yeye mwenyewe siyo msafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiingia TRA tu ikapiga mahesabu ya kodi basi hakuna tena amani hapo.Hana ubavu wa kuikosoa serikali maana yeye mwenyewe siyo msafi
Atabakia kuitwa kwa cheo chake lkn bila ya kuwa na meno.Ikiingia TRA tu ikapiga mahesabu ya kodi basi hakuna tena amani hapo.
System inachezaKuna kushinda kwa uhalali na ushindi wa kulazimisha kwa kila aina ya silaha
Kuna kushinda kwa uhalali na ushindi wa kulazimisha kwa kila aina ya silaha
Hiyo inajulikana lkn basi wapunguze majisifuSystem inacheza
System inacheza kwa sheria zake zenyewe
We unaita kulazimisha .. wenyewe wanaita ndo utaratibu
Hapana ajapata wa kumchokozaEither alikuwa anatumika na kazi yake imeisha au kibano kimefanya kazi yake.
Mkuu Kama hujagyswa mshukuru Mungu acha kujitweza! Huna ubavu wowote kwenye hili !MTAPIGA KELELE SANA,ILA SISI HUKU MIKOANI CORONA HATUIJUI.IPO KWENYE AGENTS WA NWO,WANASIASA NA VYOMBO VYA HABARI.KWETU SISI WANANCHI IT IS BUSINESS AS USUAL.LABDA WALE WAJINGA WACHACHE.
Msajiri wa nyumba za ibadi nashauri fungia leseni ya hilo bunge la waumini wa gwaji boy hakuna ibada ila wamekuwa wanaharakati wa kupingana na serikali.Ana kanisa la ufufuo kumbe???
Naomba nieleweke,huku vijini sisi hatuijui Corona.Sasa niseme uongo ipo kumbe hakuna,vipi wewe?Mnayo midomoni mwenu!Msilazimishe mambo kwa maslahi yenu.Watu wanaugua vitu vingine mnadanganya watu ni Corona.Hovyo kabisa.Mkuu Kama hujagyswa mshukuru Mungu acha kujitweza! Huna ubavu wowote kwenye hili !
Ndio maana nakwambia kkama kijijini kwako hakuna au huku expreince Corona mshukuru Mungu !Naomba nieleweke,huku vijini sisi hatuijui Corona.Sasa niseme uongo ipo kumbe hakuna,vipi wewe?Mnayo midomoni mwenu!Msilazimishe mambo kwa maslahi yenu.Watu wanaugua vitu vingine mnadanganya watu ni Corona.Hovyo kabisa.
Wewe husafiri labda,mimi nasafiri sana,this is the situation all over Tanzania.Mkuu niseme hivii,Watanzania sio wajinga.Corona kweli ingekuwepo,kusingekuwa na haja ya kupiga kelele,watu wangeogopa na kufuata masharti.Sasa hawaoni tatizo,why comply.Kiukweli wanaona ni talalila tu.Ndio maana nakwambia kkama kijijini kwako hakuna au huku expreince Corona mshukuru Mungu !
Aliyemnyamazisha ni Mwanaume Mmoja asiye na maneno mengi ( tena ni Bagosha Mwenzake ) na ambaye hata katika Mazishi ya Hayati Rais Dkt. Magufuli pale Chato alitoa Hotuba ya 'Kiume' zaidi iliyotuachia Maswali mengi kwa Kumpigia Simu Moja tu na kumwambia aache Kuivuruga Tanzania vinginevyo ataanza Kuvurugwa Yeye na Kukata Simu.
Aiseeee! U're well informed my brother! Congratulations to you.
Alisema Doroth na Mollel wasipojiuzuru naye hatanyamaza mpaka wajiuzuru,
kwani wameshajiuzuru😀😀
Alimfufua nani???Ana kanisa la ufufuo kumbe???
Anaogopa mkono wa baunsaMkono wa Baunsa umekuwa Mkono wa Betina.