Askofu Gwajima KAZI KAZI jimboni Kawe

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
GWAJIMA KAZI KAZI

Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na kujenga mifumo mizuri ya kupokea maji ili kuepuka Mafuriko wakati wa Mvua.

 
Yani Gwaji Boy ndio kazibua mitaro!
 
Wapeleke vifaa. Dunia ya sasa nani anataka kuotesha sugu mikononi wakati teknolojia imeturahisishia?
 
Move nzuri wakati dp world imepamba moto!

Jamaa nae genius sana!!

Operation thunderstorms imeshakamilika nadhani SASA nadhani ni Operation zibua mitaro !!
 
Mwizi Tapeli huyo... Hivi amewanunulia boat za kuvulia samak, amwapeleka vijana ulaya, amefungua chuo cha uvuvi...? Wapumbavu kweli ninyi
 
Niliuliza swali sikupata jibu,

Kikao Cha kupitisha azimio la Bunge kuhusu Bandari ya DP world
Gwajima alikuwemo bungeni?
 
Kama ndivyo aache kazi ya uaskofu na ubunge tumuajiri kweye hiyo maana ameifanya kwa ufanisi kwa muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…