Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Nasikiaga eti siku hizi wafu wanagoma kufufukaHivi siku hizi kapiga chini kanisa lake au bado yupo anafufua mara chache chache??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga eti siku hizi wafu wanagoma kufufukaHivi siku hizi kapiga chini kanisa lake au bado yupo anafufua mara chache chache??
Kwani kuzibua mitaro nalo ni suala mtambuka?[emoji1787]Yani Gwaji Boy ndio kazibua mitaro!
Huyu mbunge wetu HAFAI.GWAJIMA KAZI KAZI
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na kujenga mifumo mizuri ya kupokea maji ili kuepuka Mafuriko wakati wa Mvua.
View attachment 2665077
Siyo hiyo unayodhani wewe, huyu nabii amezibua kupitia maombi.Yani Gwaji Boy ndio kazibua mitaro!
Hivi siku hizi kapiga chini kanisa lake au bado yupo anafufua mara chache chache??
Alikuachia vichanga vingapi!!?Anadai yuko mbioni kumfufua yule mwovu wa chato
Hili ni jembe kazi, tunakamilisha taratibu za kufanya awe mbunge wetu wa milele jimbo la KaweGWAJIMA KAZI KAZI
Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt Josephat Gwajima (MNEC) Leo amemaliza kilio Cha wakazi wa Msasani Mtaa wa Bonde la Mpunga Kwa kuzibua mitaro yote na kuiongezea urefu na kujenga mifumo mizuri ya kupokea maji ili kuepuka Mafuriko wakati wa Mvua.
View attachment 2665077
Hili ni jembe kazi, tunakamilisha taratibu za kufanya awe mbunge wetu wa milele jimbo la Kawe
P
Ni kweli.Kweli maana wewe Mzee ulipata kura 1 tu inamaana inabidi uungane na Mh.Gwajima