Askofu Gwajima KAZI KAZI jimboni Kawe

Huyu mbunge wetu HAFAI.
Abaki kuwa mjumbe wa propaganda katika chama.
Miaka inaenda barabara hatuzioni.
Arudi kwenye kazi ya kuwaongopea waumini wake.
 
Bado tunasubiri nauli zetu za kwenda Birmigham.
 
Hili ni jembe kazi, tunakamilisha taratibu za kufanya awe mbunge wetu wa milele jimbo la Kawe
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…