GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kaka yangu ni mbishi kupindukia anaitwa Tlaatlaah Na hili atabisha.

Gentleman,
Lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki na kushinda chaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhchumi,

maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi 🐒
 
maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi [emoji205]
Upendo huzaa haki

Kwakuwa hamna upendo wowote, ndio maana hamjali haki na mupo tayari kuua yeyote anayehatarisha fursa yenu ya kushika dola
 
Issue ya Yanga na Ccm imeonyesha picha ya nini kinaendelea
 
🌈
Gentleman,
Lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki na kushinda chaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhchumi,

maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi 🐒
 
Upendo huzaa haki

Kwakuwa hamna upendo wowote, ndio maana hamjali haki na mupo tayari kuua yeyote anayehatarisha fursa yenu ya kushika dola
kurekodi video za kuzini na waamini wake huku akiwaambukiza ukimwi kwa makusudi ndio upendo na haki right gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom