GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii haihitaji utafiti
Aisee naomba waendelee kushupaza shingo Ili hizo Siku 10 zijazo aongee Hilo jambo litakalo amua way forward 😄

Huku nasubiri press ya polepole aliyosema watu watashikana mashati 🤣
 
Gentleman,
Lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki na kushinda chaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhchumi,

maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi 🐒
Uzuri CCM hii haitegemei kura za wananchi hata wasipoipenda ikipendwa na Seth herbinder na genge lao(wahuni) inatosha by Polepole.

AHHHH Komredi ila inanisikitisha sana hihi siyo Ile yetu hii ni ya kwao ya kwetu ilikuwa ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI
 
Tatizo la ccm ni moja;hawaangalii athari zijazo,wanacho anglia ni kubaki hapo walipo na wale wanaomzunguuka tu
 
Back
Top Bottom