Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani nani anayetaka kupendwa.Mhimu ni Oktoba CCM tutatangwa washindi tena kwa kura nyingiAskofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini"
View attachment 3442456
Kuna kaka yangu ni mbishi kupindukia anaitwa Tlaatlaah Na hili atabisha.Ni kama kuna ukweli hivi. Ila kuna watu watapinga.
Kaka Kima ulimaliza kuchuma mapera ?Kwani nani anayetaka kupendwa.Mhimu ni Oktoba CCM tutatangwa washindi tena kwa kura nyingi
Kuna kaka yangu ni mbishi kupindukia anaitwa Tlaatlaah Na hili atabisha.
Gentleman,Kuna kaka yangu ni mbishi kupindukia anaitwa Tlaatlaah Na hili atabisha.
Upendo huzaa hakiGentleman,
Lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki na kushinda chaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhchumi,
maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi [emoji205]
Gentleman,
Lengo na madhumuni ya kuanzishwa kwa CCM ni kushiriki na kushinda chaguzi kwa kishindo, kukamata dola, kuunda Serikali, kuongoza nchi, kuwatumikia wananchi na kuwaletea wananchi wote maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuhchumi,
maswala ya mapenzi akayafanye na waamini wake kanisani kwake kama kawaida yake. CCM sio taasisi ya mapenzi π
machawa hawawezi kubaliNi kama kuna ukweli hivi. Ila kuna watu watapinga.
πKwani nani anayetaka kupendwa.Mhimu ni Oktoba CCM tutatangwa washindi tena kwa kura nyingi
Ulijuaje aise hio ni chakula ya wakubwa pale Lumumba...huko nyuma atakua kaharibika kweliπ
Askofu Gwajima amesema, "Kiwango cha kupendwa kwa Wagombea wa CCM kiko chini"
kurekodi video za kuzini na waamini wake huku akiwaambukiza ukimwi kwa makusudi ndio upendo na haki right gentleman?πUpendo huzaa haki
Kwakuwa hamna upendo wowote, ndio maana hamjali haki na mupo tayari kuua yeyote anayehatarisha fursa yenu ya kushika dola
Watake wasitake lazima tuibeKwani nani anayetaka kupendwa.Mhimu ni Oktoba CCM tutatangwa washindi tena kwa kura nyingi