GE2025 Askofu Gwajima: Kiwango cha kupendwa kwa CCM kiko chini kuliko wakati wowote katika Historia ya Tanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii haihitaji utafiti
Aisee naomba waendelee kushupaza shingo Ili hizo Siku 10 zijazo aongee Hilo jambo litakalo amua way forward 😄

Huku nasubiri press ya polepole aliyosema watu watashikana mashati 🤣
 
Uzuri CCM hii haitegemei kura za wananchi hata wasipoipenda ikipendwa na Seth herbinder na genge lao(wahuni) inatosha by Polepole.

AHHHH Komredi ila inanisikitisha sana hihi siyo Ile yetu hii ni ya kwao ya kwetu ilikuwa ya WAKULIMA na WAFANYAKAZI
 
Tatizo la ccm ni moja;hawaangalii athari zijazo,wanacho anglia ni kubaki hapo walipo na wale wanaomzunguuka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…