Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Askofu Gwajima amesema kuhusu suala la utekaji hamuogopi mtu hata kama kanisa litafungw akwa miaka 100. Ameyasema hayo wakati kizungumza na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025. Amemalizia kwa kusema haina maana kuwa CCM ndiyo watekaji.
"Nimeshauri yote haya kwa namna nzuri kanisa likafungwa. Sasa unakuja kujiuliza kanisa limefungwaje kwa sababu hii?. Lakini mimi nataka kusema na mtu yeyote, kuhusu utekaji mimi simuogopi mtu. Siogopi asubuhi, siogopi jioni siogopi mchana. Kuhusu utekaji siogopi mtu hata kama ungefunga makanisa kwa miaka miamoja.
Kuhusu utekaji stop abduction and diasapearance of persons, about abduction i dont swallow no matter how long it takes siwezi kuacha kuzungumza kama watu wanaendelea kutewa"
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!